NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

pia ni ndoto labda asingekuwa mwenyekiti wa chama.....huyu atapitishwa hata kwa nguvu...

Mwizi akimaliza kuwaibia waliomzunguka mwisho hujiibia mwenyewe! CCM imekwisha maliza wapinzanj,lakini kiu ya kumaliza bado wanayo !Hiyo ndiyo itakayo wamaliza!
 
Kama unategemea nafasi ya Makonda labda. Pole sana.Angekuwa japo anaheshimu Katiba aliyoapa kuilinda ningemuelewa.
 
Lipi zuri au kufanya uhakiki wa wafanyakazi miaka miwili ili wengine wenye vyeti halali na hatuna matatizo tuishi kama mashetani.

Kama una cheo tulia angalia maisha ya wafanyakazi na watanzania kwa ujumla.
 
Sio bure una matatizo.
 
Mkuu @TangataUnyakeWasu, hiyo ndoto yako ni ndoto ya ajabu sana, ambayo inakupa hadi the reasons behind!.

Kwa kawaida ndoto huwa unaoteshwa kitu lakini bila majibu, halafu majibu yatakuja kupatikana kwenye tafsiri ya ndoto hiyo.

Nilitegemea ungesema hii ni mara ya tatu unaoteshwa kuwa rais Magufuli ni one term president.

Ndoto za aina hii nyingine huwa ni sauti ya Mungu au maono. Mungu akikuotesha jambo, hakupi majibu bali utaona tuu matokeo, sasa wewe na hii ndoto yako imekuambia Magufuli atapigwa chini na mchakato wa ndani wa CCM? . Kwani CCM huwa inamchakato wa ndani kabla ya miaka 10?. Kwa kukusaidia tuu wewe na hiyo ndoto yako ya uongo, CCM haina mchakato wa ndani wa urais kwa mwaka 2020 bali aliyepo huendelea, hakuna hata utoaji wa fomu! .

Kama ungesema Mungu amekuotesha bila kukupa sababu, hiyo ndio ingeweza kuwa ni ndoto ya kweli ya maono kama ile ndoto ya Lema.

Paskali
 
haa haa nakwambia akienda hata kugombea kenya tu hapa hata 5% ya kura hafikishi. tena alivyobingwa wa kuvunja katiba sijui....
 
Endelea kuota,kuna mwenzako aliota hadi Leo mwezi wa tatu huu yupo kisongo
 
Amefanya yapi mazuri
 
Mkuu Elirehema, naunga mkono hoja kuwa Magufuli atamaliza miaka yake yote 10 sio kwa sababu wewe wasema, but only if God wishes ndio maana tunamuombea.

Sisi wengine tunapendekeza tubadili katiba hata baada ya miaka kumi aendelee tuu
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali
 
Hatukuwa na ndege zetu wenyewe, hospitalini kama huna rushwa ilikuwa taabu ila sasa hivi unatibiwa vizuri, madawa ilikuwa shida ila kwa sasa yanapatikana, rushwa imepungua, watu walikuwa hawalipi kodi, mabarabara yakijengwa watu walikuwa wanaiba nusu ya pesa ila kwa sasa safiiiiii na mengine mengi tu siwezitaja yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…