NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Na iwe hivyo ikiwa mola itampendeza maana duh
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Duh Africa nzima? Na Somalia.je huarabuni atakubalika?
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Kosa lako ni kumshtua mapema.
Atajipanga ubaki unashangaa na macho yako [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Aisee ndoto hizi...na mimi nimeota JPM atatawala miaka kumi...2020 atapita kwa kishindo kikubwa mara ya tano hii naota
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Aiseeh yaani umepata maono kama yangu!
Hili limenitokea kabisa usiku wa kuamkia leo nimeota nami ndoto kama hiyo...
Sasa mara nyingi ndoto zangu huwa za kweli, naona anguko kubwa likimjia huyu mtu!
 
Acha mambo yako ya kichawi. Hakuna ndoto ya ukweli
 
Awamu moja...!!!
Wakati wengine wanapenda awe rais wa maisha
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
CCM wakifanya hivyo wajue hawatopata tena uongozi wa nchi yetu. Anachokifanya Magufuli sasa hakuna yeyote mwingine kwa ndani ya CCM anaeweza. Hao wasiomtaka ni wale waliozoea ile mifumo ya zamani ya wizi na ubadhirifu. Ndio kuna changamoto kadhaa ambazo zinarekebishika lakini sasa hivi kuna nidhamu ya hali ya juu na matumizi ya kipuuzi hamna kabisa.

Nawaasa wana-CCM wenzangu msifanye hilo kosa.
 
Kwani mboe kawezaje kujiweka chairperson wa milele yeye ashindwe kutumia nguvu zake kujiweka.
Jpm akiwa wa kipindi kimoja wa tz tupimwe akili kama tulivyoambiwa kuhusu aliejiuzulu.
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Hee! We reheme unajifanya huoni madudu anayofanya huyu muheshimiwa? Aende tu keshatuvurugia uchumi wetu,umoja wetu..tumemchoka
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Ajikwezaye atashushwa, ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, hili ni tunda mojawapo la Roho Mtakatifu. kuwa mnyenyekevu.

Mika 6:6-8, Nimkaribie Bwana na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimkaribie na sadaka za kuteketezwa, na ndama za umri wa mwaka mmoja? Je Bwana atapendezwa na elfu za kondoo waume, au na elfu kumi za mito ya mafuta? Je ni mtolee mzaliwa wangu wa kwanza kwa kosa langu, mzao wa mwili wangu kwa dhambi ya roho yangu? Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na Bwana anataka nini kwako? Ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.

Yakobo 4:6-10, 1Petro 5:5, Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. Jidhilini mbele za Mungu naye atawakuza.

Yakobo 4:6, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi, mtiini Mungu. Mpingeni shetani naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu. Jidhilini mbele za Bwana naye atawakuza.

Zaburi 18:27, God rescues the humble and puts down those who are proud. Mungu huwaokoa watu wanaoonewa, na macho ya kiburi atayadhili.

Zaburi 138:6, Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyeyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Though you are above us all, you care for humble people, and you keep a close watch on everyone who is proud. Our God cares for humble people.

Zaburi 149:4, Kwakuwa Bwana awaridhia watu wake, huwapamba wenye upole kwa wokovu. The Lord is please with his people, and he gives victory to those who are humble.

Mithali 3:34, Mungu huwadharau wale wanaomdharau yeye, bali huwapa wale wanaoonyesha unyenyekevu na heshima kwake neema. The Lord sneers at those who sneer at him, but he is kind to everyone who is humble.

Mithali 11:2, Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu, bali hekima hukaa na wanyenyekevu. Pride can put you to shame, it is wiser to be humble.

Mithali 15:33, Kumcha Bwana ni maonyo ya hekima, na kabla ya heshima, hutangulia unyenyekevu. Showing respect to the Lord will make you wise, and being humble will bring honour to you.

Isaya 57:15, maana yeye aliye juu aliyetukuka, akaaye milele, ambaye jina lake ni mtakatifu asema hivi, nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu, tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu. Our Holy God lives forever in the highest heavens, and this is what he says; though I live High above in the Holy place, I am here to help those who are humble and depend only on me. If you depend only on God, God will help you. Do not depend on other things other than God.

Isaya 66:2, Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu. The people I treasure most are humble, they depend only on me and tremble when I speak.those who are humble and obey his voice/word. May God bless you. Amin.
 
Huwezi kuamini ila tulifikia hatua mbaya sana kiasi kwamba vyuo vilikua vinazalisha wezi wa fedha za uma badala ya watumishi wazalendo!

Na ndio hawa kama huyu mleta mada! Amebakia kuota tu nafasi nyingine ya wizi ije haraka!

Amka kwenye ndoto zako mkuu! Hamtakaa mtuibie tena!
 
Back
Top Bottom