NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Kama hamuwezi kutaja basi nyie wanafiki na mnapaswa kunyamaza
 
Aende wp?.. [emoji1] [emoji2] [emoji23] [emoji23] .
Mchagulie Mji wa kwenda!!!
Acha kuendekeza Mahabaa, tujipe nafasi ya kupenda kufikiria kabla ya kuendekeza Mahaba.

Hitimisha hoja yako kw facts!!!
Hata kuzimu panamfaa
 
Kuna mtu kataja hapa ndo namwambia ayataje amesema naona mazuri tu mabaya siyaoni?
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Unajua utakuwa hueleweki kama hujatataja mfano? Makubwa yapi? Kununua bombadia tuwili? Au kina mama wajawazito na Watoto kupata chanjo? Wanafunzi wa elimu Ya juu kupata mikopo na kwa wakati? Au wafanyakazi kupata stahiki zao au ametoa ajira kwa vijana?
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Hao wote ni akina nani? Unajua machungu tuliyonayo watumishi wa umma wewe? Acha siasa, eleza yako tu, do not generalize.
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!

Endelea kuota tu.
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Ellyrehema .....watu walizoea kwenda club daily.sasa mambo yamebadilika sna mkuu.bandarini kulikuwa hvyo kabisa leo kitu kime banwa lazima watoto wa vigogo watampinga
 
Ni ndoto nzuri, ila siku ukiota unagegedwa utuambie pia
 
Kwa mtu yoyote ambaye hajapata chakula, lazima njaa itamsumbua.

NBC. Maana ya jina Mayalla sio njaa ya chakula bali ni baa la njaa, famine.
Paskali
kwahio unatafta chakula, ukipata uta nyamaza na kula kimya kimya
 
Ni kweli kabisa Rais asiyejiamini kila anapokwenda anaanza mie ndiyo Rais wa Tanzania. yuko busy na akina Lema na Lissu huyu ndiyo Rais anayewazidi wengine.

Mkabila tusubirie kila kitu kwenda Chattel
Ya Moshi, umesahau , kila kitu Moshi, lami Umeme, maji , ndege hadi likizo December Moshi. Nani mkabila?
 
Mabaya ya rais ni yapi. Mniambie labda na mm nitashawishika kutomwamini
Kuna ujenzi wa Uwanja wa Ndege unaendelea Chato, tenda inasemwa kapewa mpwa wake (mgongano wa maslahi) yule kijana akahojiwa na gazeti fulani juu ya gharama za ujenzi akajibu yeye gharama hajui.

Umewahi kuona mkandarasi hajui gharama ya mradi wake? Kuna sababu yoyote kujenga uwanja wa ndege mkubwa wa levo ya JKNIA Chato?

Kisha kuna ghorofa la roshani 2 la TRA linajengwa hapo Chato, tenda amepewa yule yule anayesemwa ni mpwa wake.

Umewahi kujua kua serikali hutangaza tenda? Mbona kwenye miradi hii tenda hazitangazwi?
Tufanye zinatangazwa kimya kimya, hata hivyo bado timeframe ya kutoka tamko la kutaka mradi uanze mpaka kuanza ujenzi haitoshi kusema tenda ilifuata taratibu zote mpaka wa kuipata akaipata.

Kuna wahitimu wa 2015 na wa 2016 jobless kutokana na tamko lake moja tu alilosema halitazidi miezi 2.

Gesi imepanda juzi, na gesi tunayo nchini kwetu.

Umeme unatarajiwa upande, na tuna gesi, maporomoko ya maji, mafuta mazito na kila chanzo kingine cha kuzalisha umeme inakuaje hapa?
Tunaambiwa TANESCO wanatakiwa kulipa deni, deni ambalo halipo kisheria ni wajanja wachache wametapeli taifa. Na hakuna anayeshughulika nao.

Ulipo unga shilingi ngapi? Mwaka utawala mpya unaanza ulikua shilingi ngapi?
 
Mh!CCM wametuingiza kwenye shimo la ajabu kutoka humo ni mpaka taasisi zenye mamlaka zishtuke.Na zifikirie nje ya box la Unazi wa CCM. Nakubaliana na wewe JPM wanapenda sana Madaraka kwa ajili tu ya kulipiza visasi.Na atamaliza miaka mitano bila kuongeza chochote zaidi ya kukimbizana na viwanda vya mitandao na Wapinzani.
Pole pole tu , miaka INA kwenda kama fisi kusubiri mkono ukatike .
 
Back
Top Bottom