ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,017
Kama hamuwezi kutaja basi nyie wanafiki na mnapaswa kunyamaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuzimu panamfaaAende wp?.. [emoji1] [emoji2] [emoji23] [emoji23] .
Mchagulie Mji wa kwenda!!!
Acha kuendekeza Mahabaa, tujipe nafasi ya kupenda kufikiria kabla ya kuendekeza Mahaba.
Hitimisha hoja yako kw facts!!!
sijamtaja rais hapa. ila mwenye sikio na asikie.Mabaya ya rais ni yapi. Mniambie labda na mm nitashawishika kutomwamini
Unajua utakuwa hueleweki kama hujatataja mfano? Makubwa yapi? Kununua bombadia tuwili? Au kina mama wajawazito na Watoto kupata chanjo? Wanafunzi wa elimu Ya juu kupata mikopo na kwa wakati? Au wafanyakazi kupata stahiki zao au ametoa ajira kwa vijana?Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Sasa wewe unaejua kuchanganua mbona ndiyo kituko kuliko wenzako?Kwani anayewakamata lema na tundu ni raisi?. Sasa naanza kujua uwezo wenu wa kuchanganua amambo ukoje
Hao wote ni akina nani? Unajua machungu tuliyonayo watumishi wa umma wewe? Acha siasa, eleza yako tu, do not generalize.Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake. Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.
Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Kwa mtu yoyote ambaye hajapata chakula, lazima njaa itamsumbua.Njaa imeanza tena kukusumbua
Hajui hasira tuliyonayo huyo. Umesema vyema mkuu.Lipi zuri au kufanya uhakiki wa wafanyakazi miaka miwili ili wengine wenye vyeti halali na hatuna matatizo tuishi kama mashetani.
Kama una cheo tulia angalia maisha ya wafanyakazi na watanzania kwa ujumla.
Ellyrehema .....watu walizoea kwenda club daily.sasa mambo yamebadilika sna mkuu.bandarini kulikuwa hvyo kabisa leo kitu kime banwa lazima watoto wa vigogo watampingaMi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
kwahio unatafta chakula, ukipata uta nyamaza na kula kimya kimyaKwa mtu yoyote ambaye hajapata chakula, lazima njaa itamsumbua.
NBC. Maana ya jina Mayalla sio njaa ya chakula bali ni baa la njaa, famine.
Paskali
Ya Moshi, umesahau , kila kitu Moshi, lami Umeme, maji , ndege hadi likizo December Moshi. Nani mkabila?Ni kweli kabisa Rais asiyejiamini kila anapokwenda anaanza mie ndiyo Rais wa Tanzania. yuko busy na akina Lema na Lissu huyu ndiyo Rais anayewazidi wengine.
Mkabila tusubirie kila kitu kwenda Chattel
Kuna ujenzi wa Uwanja wa Ndege unaendelea Chato, tenda inasemwa kapewa mpwa wake (mgongano wa maslahi) yule kijana akahojiwa na gazeti fulani juu ya gharama za ujenzi akajibu yeye gharama hajui.Mabaya ya rais ni yapi. Mniambie labda na mm nitashawishika kutomwamini
Pole pole tu , miaka INA kwenda kama fisi kusubiri mkono ukatike .Mh!CCM wametuingiza kwenye shimo la ajabu kutoka humo ni mpaka taasisi zenye mamlaka zishtuke.Na zifikirie nje ya box la Unazi wa CCM. Nakubaliana na wewe JPM wanapenda sana Madaraka kwa ajili tu ya kulipiza visasi.Na atamaliza miaka mitano bila kuongeza chochote zaidi ya kukimbizana na viwanda vya mitandao na Wapinzani.
This is too much propaganda...Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote