NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Anakubarika kwa kuvuruga uchumi wa nchi
 
Yapi mazuri? Kuzindua mwendo kasi!? Kuzindua daraja la kigambon!? Kuzindua kiwanda cha bakhresa!? Niambie ni mradi gan mkubwa umesimamiwa au unasimamiwa na bwana huyu kwa takriban miaka mawili zaid ya Chato international airport!?[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kwani huwa mchakato wa kumpata mgombea huwa ni wa miaka mitano mitano au ukishapita ndo huwa wa awamu ya miaka kumi.
 
KUOTA NI JAMBO LA KAWAIDA.... so si shangai
 
Mkuu hili linafahamika wazi tunasubir muda uwadie
 
Kwa taarifa yako wako watu wanalaani hata yale Mungu anafanya. Hata Yesu pamoja na kutenda mema, aliponya wagonjwa, alifufua wafu, akawaelekeza njia ya kwenda mbinguni, lakini walimkataa na kumuua. Huna sababu ya kushangaa.
 
Dogo, siku ingine ukitaka kuota lala kwanza. Hizo zenu za kuota huku uko macho ni uchizi.
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Una kiwango cha juu cha ufahuru cha unafiki, hawa ndio watanzania
 
Uko sahihi kabisa mkuu, hiyo ni ndoto tu. Mie nilishaota zaidi ya mara tatu namiliki ndege binafsi, uhalisia hata bajaji sijawahi kumiliki!
 
Endeleeni kuweweseka ....huyu ataendelea na ataacha kwamjibu wa katiba hatahivyo wananchi watamtaka aendelee
 
Tutajie hayo mazuri.
 
Yataje hayo mazuri aliyoyafanya
 

Pamoja na mapungufu yake machache Rais Magu anatufaa sana kwa sasa hasa kudhibiti rushwa kwa mfano gharama za ujenzi wa reli mwanzo zilikuwa juu mara mbili zaidi ya sasa na hii ni baada ya kudhibiti rushwa. Muhimbili wagonjwa walikuwa wanalala hadi chini leo hii vitanda vinabaki tupu.
 
Wanasema eti kwakuwa style yake ya kuongoza 'yani style ya kupambana na dawa za kulevya na ufisadi' inawachukiza walio wengi...kwahio atawale kipindi kimoja tu.

Mafisadi na wauza unga mnayo matatizo....21/1 ya juzi kwenye uchaguzi wa 2020 itakuwa hivyohivyo so kikubwa mkubali kubadilika
 
Na iwe hivyo.
Ila angalia usiitwe mchochezi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…