NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Kwenye hii thready kuna hyo picha ya hyo jamaa Mwenye clip zake naomba huwa napenda anavyotoaga point zake japo Simjui jina but nadhan n mchambuzi Wa mambo ya siasa
 
Mm namkubali sana Magufuli, ananiuzi pale anapoingilia mihimili mingine tu,orelse namkubali sana.

Tanzania tunataka Rais wa namna ya Magufuli
 
Rais hawezi kutawala kwa awamu moja. Nyie mnaomwombea mabaya nyie ndo yawapate
Siku watanzania tukijua nini tunataka na wapi pa kwenda ndio itakuwa mwanzo wa kuendelea ikija mvua tunataka jua likija joto tunataka baridi yaani wengi wetu hatusomeki.
 
Ota tu ndoto hiyo haina madhara,si wenzio tunategemea atawale mpaka kiyama we unaleta ndoto hapa
 
Unakumbuka ya kuwa hata ile ya Godbless Lema ilikua ndoto?
Shauri yako...
 
Wauza ngada wanatapatapa kweli!!!
 


Inawezekana kwani viongozi wengi ndani ya hicho chama wameguswa maslahi yao.
 
Ndoto nyingi zinakuaga kinyume chake.Ukiota msiba ujue kuna harusi
 
No mimi ni kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda.

Paskali

Nimejaribu kuangalia picha hizi mbili na kujua kwa nini mnabishana.


Urais ni talanta. Uendeshe kwa huba na mapenzi sio ugomvi na visasi
 
Jpm hadi 2025 na mbowe nimeota amejizulu uanachama wa cdm
 
Kwani kumaliza awamu moja ni lazima.....。 Jitaidi uote tena mkuu na iwe kweli....kutoka feb hii 2017 mpaka 2020 ni mbali sana
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Kautafiti hako umekafanyia wapi,lini na kina nani uliwahoji?Usiwe mpiga debe wa bei sawa na bure!
 
Mtawazeni rais wa ukoo wenu milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…