Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Nani kakwambia kwmb AKIGOMBEA AFRICA NZIMA ANASHINDA..?? Hyo research umeifanya lini..?? Na umegundua ni nchi zote kweli..?? Be serious mkuu..!!! Hakuna nchi waliozoea shida, labda ndugu zetu Somalia ambao tunawaombea wawe na amani.Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Unaomuona anaweza na ametutyt watanzania kwa sababu SISI NI WAOGA. Tukitekenywa kidogo tu, tunaogopa ndo maana anakuwa free kukandamiza uhuru wa habar na kuminya demokrasia kwa namna anavyotaka yeye.