NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Nani kakwambia kwmb AKIGOMBEA AFRICA NZIMA ANASHINDA..?? Hyo research umeifanya lini..?? Na umegundua ni nchi zote kweli..?? Be serious mkuu..!!! Hakuna nchi waliozoea shida, labda ndugu zetu Somalia ambao tunawaombea wawe na amani.

Unaomuona anaweza na ametutyt watanzania kwa sababu SISI NI WAOGA. Tukitekenywa kidogo tu, tunaogopa ndo maana anakuwa free kukandamiza uhuru wa habar na kuminya demokrasia kwa namna anavyotaka yeye.
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Hiyo africa nzima akigombea atajinadi kwa lugha gani? Labda tuanzie hapo kwanza.
 
Kwanini haongezi mshahara wafanyakazi wa umma
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Kwa hali iliyopo saivi hata kama ccm itampitisha hawezi kupata kura za kutosha watu tumechoka na utawala wa kutumia nguvu na kudharirisha watu ,hatuungi mkono wizi wa mali za uma na ufisadi pamoja na dawa za kulevya lkn njia inayotumika haifuati misingi ya sheria na utawala bora na utu wa mtu, anamuachia hadi mkuu wa mkoa anajichulia maamuzi ambayo hayako ktkt mamlaka yake pia anakashfu wabunge, mm ni mmojawapo ambae nilikuwa sitaki kusikia mtu anamsema vibaya magufuli lkn kwa sasa sitaki tena kusikia hata habari zake, huwezi kuendesha nchi kwa ubabe ubabe.
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!

Hizo ni ndoto za alinacha, kiongozi kama Rais Magufuli ndo wanaohitajika sana kwa taifa la Tanzania na ikiwezeka 2025 tutaandamana ili katiba ibadilishe(amended) Dr Magu aendeleae kwa muhula mwingine wa miaka 10. Wapiga madili, wala rushwa, drug barons and drug mules, viongozi katika chama tawala wanaopenda cheo zaidi ya kimoja sasa wanaisoma namba and that is why wamepigwa ganzi!
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!
Mimi nikajua maono kumbe ndoto ni ukweli mtupu unaota wewe..!

Wewe unadhani ssm pekee ndiyo wanamteuwa mgombeq urais?? Basi lowassa angeshinda kura za maoni.
 
Unaweza kutueleza kati ya Maraisi wote waliowahi kutawala Tanzania hii, ni yupi aliyejaribiwa kupinduliwa mara nyingi?
Wazee wa Kariakoo walijaribu Kumpindua lakini wakashindwa naye akawafuta kwenye historia
 
Hatukuwa na ndege zetu wenyewe, hospitalini kama huna rushwa ilikuwa taabu ila sasa hivi unatibiwa vizuri, madawa ilikuwa shida ila kwa sasa yanapatikana, rushwa imepungua, watu walikuwa hawalipi kodi, mabarabara yakijengwa watu walikuwa wanaiba nusu ya pesa ila kwa sasa safiiiiii na mengine mengi tu siwezitaja yote.
tulikuwa na ndege zetu wenyewe F27 4 Boeing 737 2 Twin otter 4 zilinunuliwa brand new na serikali ya awamu ya kwanza kwa hiyo hatukuwa na ndege ki vipi? Hospital ilikuwa bure na data zipo bure. Kwenye ndege pia tulikuwa na F27 mac 200 na twin otter 2 tulizorithi kutoka East African Airways
 
TENA MBAYA ZAIDI NDOTO ZENYEWE ZA MCHANA BAADA YA KUBWIA NGADA, ENDELEA KUOTA NA HUKU DENDA LA NGADA LIKICHURUZIKA
Baba ni udaga sio ndaga anyway ila nimekusoma [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana Jf wenzangu......!!

Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini katika mchakato wa kumpata mgombea ndani ya chama chake.

Hii ni kutokana na makundi mengi ambayo yameanza kujipanga kwa kutumia mbinu mbalimbali ndani ya chama kwani wengi wao awapendezwi na aina ya utawala anaoendelea nao kwa sasa ndani ya chama na Taifa.

Ni hayo tu nimeona niwashirikishe....!!

Keep on dreaming my dear!!!!
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Mkuu umeongea kwa hisia Sana hata Mimi magufuli nilikuwa nampenda regardless yupo ccm lakini alipofikia it's too much Uhuru wa habari hamna maoni hamna ajira hamna mikopo hamna imebaki mipasho tu ya akinamakonda kupambana na wapinzani kunampotezea mda angeendelea na kazi awaachie wapinzani waendelee na porojo zao lakini hii ya kuwabana ndo wataonekana wa maana kwa wananchii trust me siku lema akitoka akiitisha mkutano arusha uzalishaji unasimama kwa namna walivyomkumbuka kipenzi chao
 
Ndoto zenu hizo wengine wananyea debe lupango
 
Mi nawashangaa sana watanzania. Tuna rais ambaye africa nzima akigombea urais anashinda. Then nchini kwake anaonekana kituko. Binafsi huwa naumia sana ninapoona mtu anambeza rais. Amefanya mangapi mazuri then mnakuja kumdisqualify kwa vitu vidigo sana. Ikumbukwe yeye si malaika, hivyo anaweza kukosea ama kufanya jambo ambalo wewe ama nyie hamkupendezwa nalo.
Misemo inasema kuwa nabii hakubariki kwao
 
Kwenda huko. Kwa sasa hakuna makundi kwenye chama. Na pia kati ya maraisi waliotawala tanzania ukiondoa nyerere, huyu ndo anakubalika kuliko wote
Hash umeongea kwa kinyume mekuelewa binafs najua rais aliyekubalika ni ally hassan mwinyi aka mzee wa ruksa
 
tulikuwa na ndege zetu wenyewe F27 4 Boeing 737 2 Twin otter 4 zilinunuliwa brand new na serikali ya awamu ya kwanza kwa hiyo hatukuwa na ndege ki vipi? Hospital ilikuwa bure na data zipo bure. Kwenye ndege pia tulikuwa na F27 mac 200 na twin otter 2 tulizorithi kutoka East African Airways
Ndege zina muda wa masaa ya kuruka yakifika hata kama ni nzima lazima itolewe kwenye services. Sasa ni ndege gani ya atc iliyokuwa ikifanya safari hapa nchini ama nje ya nchi
 
Back
Top Bottom