Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,751
Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani.
Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha. Vituo vilibaki tupu, hakuna cha polisi wala wasimamizi wa upigaji kura.
Hii ndoto ilikuwa mbaya sana. If all dreams were true beggars will ride. Wewe umeota nini let's share.