Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

Prius XW50 ni 4th generation ya Prius 2015-2022. Bei yake na ushuru shikamoo.
PHV (Plug-in Hybrid) kuipata nayo msala maana zenyewe mbali na hybrid unaweza kuchaji pia. So inaweza hadi kwenda Kilometa 30 full electric.

Kama mtu unakaa jirani na kazini unaweza jikuta hautumii mafuta kabisa.
 
Nimeitamani hii na outlander phev gg3. . Ila mzigo umekaza.. Wacha tudundulize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ