Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #61
Prius XW50 ni 4th generation ya Prius 2015-2022. Bei yake na ushuru shikamoo.Nimeitamani prius phv(xw50) aisee ni katamu japo inachukua abiria wa3 tu, ila changamoto mpaka unaitia barabarani si mchezo, inaenda kati ya km 50+ hivi kwa lita moja ya mafuta.
Kisha kuna mitsubishi outlander phev ipo ya gg2 na gg3, toleo la gg3 ni unyama zaidi, changamoto ni hizo kodi.
PHV (Plug-in Hybrid) kuipata nayo msala maana zenyewe mbali na hybrid unaweza kuchaji pia. So inaweza hadi kwenda Kilometa 30 full electric.
Kama mtu unakaa jirani na kazini unaweza jikuta hautumii mafuta kabisa.