Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 273
- 251
Hao mafundi hawana ujuzi wa hizo gariMafundi wetu wanasema gari zenye umeme mwingi ndio hazifaiš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mafundi hawana ujuzi wa hizo gariMafundi wetu wanasema gari zenye umeme mwingi ndio hazifaiš
Sio bei kaka, ni ushuru. Hakuna kinachouzwa hapo.Hahahahaa dah pole sana, kwa gari ya 2019 hiyo bei ni kawaida sana ndugu fumba macho vuta mzigo la sivyo vuta leaf zile 1st generation
Nchi ikusanye wapi hela? Kwa lugha rahisi anae nunua gari la 2024 huyu ni tajili, lazima atoe sana kuchangia uchumiSio bei kaka, ni ushuru. Hakuna kinachouzwa hapo.
Ila sasa Serikali inashangaza sana, ili kufanya watu wanunue magari mapya na kuachana na ununuzi wa mikweche, ilitakiwa ushuru uwe mdogo kwa gari mpya na mkubwa kwa gari kuu kuu.
Mfano ushuru wa gari la mwaka 2024 ulipaswa kuwa shilingi milioni 1 (usajili umejumlishwa hapo). Ushuru uwe flat kwa miaka ya magari kama ilivyo kwa usajili na sio utofautiane kwa kila gari. Yaani ushuru wa LC300 ya 2024 uwe sawa tu na ushuru wa Premio ya 2024 (kama kuna hilo toleo)
Kaka nasubiri kijiti iko šOya Brian ndoto ipo pale pale nimehamia Hybrid.
Au wanaona wakiweka ushuru mdogo kwa magari mapya kutakuwa hakuna heshima. Yaani Mwigulu aendeshwe kwenye Nissan Patrol ya 2024 na Mad Max nae aendeshe gari kama hilo!! Bora wawe nayo wachache tu.. huenda ndio viongozi wa serikali wanavyofikiriNchi ikusanye wapi hela? Kwa lugha rahisi anae nunua gari la 2024 huyu ni tajili, lazima atoe sana kuchangia uchumi
Nunua tu hybrid yard...TRA wanataka mnunue za Kipanya, sijui zinauziwa wapi hizi.Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.
Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli.
Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!
Mzigo umeishia kupunguzwa million mbili na nusu tu.
Kutoka hapa Mil 23.2 ushuru wa mwaka jana.
View attachment 3190804
Kuja Mil 20.8 tu ushuru wa mwaka huu 2025.
View attachment 3190809
Hii ndio ilikua dream car yangu ila kuwapa TRA Tanzania mil 20 sitakaa nikafanya ivo kwa kipato changu cha sasa.
Kila lakheri EV, tutaonana miaka ijayo.
Ni wivu maana wanajua watakosa kaziHao mafundi hawana ujuzi wa hizo gari
Kama wanataka kukusanya hela, ni kupunguza kodi mpaka kiwango kinachohimilika na wengi, makusanyo yanaongezeka. Kodi kubwa hupunguza makusanyoNchi ikusanye wapi hela? Kwa lugha rahisi anae nunua gari la 2024 huyu ni tajili, lazima atoe sana kuchangia uchumi
Kama ni mtumishi wa umma omba msamaha wa kodi,nadhani utailipia nusu ya hyo uliyoiona ni kubwaNiseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.
Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli.
Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!
Mzigo umeishia kupunguzwa million mbili na nusu tu.
Kutoka hapa Mil 23.2 ushuru wa mwaka jana.
View attachment 3190804
Kuja Mil 20.8 tu ushuru wa mwaka huu 2025.
View attachment 3190809
Hii ndio ilikua dream car yangu ila kuwapa TRA Tanzania mil 20 sitakaa nikafanya ivo kwa kipato changu cha sasa.
Kila lakheri EV, tutaonana miaka ijayo.
Na wameweza aisee. Huwezi kupata chuma ya miaka ya 2020+ ikawa na ushuru mzuri.Au wanaona wakiweka ushuru mdogo kwa magari mapya kutakuwa hakuna heshima. Yaani Mwigulu aendeshwe kwenye Nissan Patrol ya 2024 na Mad Max nae aendeshe gari kama hilo!! Bora wawe nayo wachache tu.. huenda ndio viongozi wa serikali wanavyofikiri
Hivi hili gari ungekuwa unalichaji vipi mkuu? Ni kwa umeme wa kawaida kama zile pikipiki au kuna vituo maalum?Ngoja nipige hesabu nione kama itakua economy
Aisee hivi ndio vyuma tuvitakavyo. Kwa hiyo kwa ushuru wa sasa, bajeti yake inakua kiasi gani mpaka gari iwe mkononi kwako?Umeme wa nyumbani wa kuchajia simu mkuu unachaji fresh tu.
Nissan Leaf inawakimbiza katika aspects tatu:Hii Nissan Leaf ni kali sana mazee. Mad Max kama hela ipo, funika tu hiyo stress ya kodi uvute mchuma huo. Nimepitia magari ya mfanano huo kama VW ID lakini hakuna iliyonyooka kuizidi hiyo Nissan.
Kama nasema kama serikali ikiamua kushift kutoka mafuta kwenda EV wata save 70% ya gharama za uendeshaji wa mambo ya usafiri.Nchi masikini zote ndio zao hizo
Hebu fikiria kama magari yote ya serikali yakiwa ya umeme unafikiri wataokoa kiasi gani cha hela kwa ajili ya mafuta kila siku?
Hakuna anaeliwazia hilo
Huku nilipo walipoamua nchi kuwa na magari ya umeme na kuanza kuwatoza watu wenye magari ya zamani au yanayochafua hewa
Serikali ilikuja na mkakati wa ULEZ Ultra Low Emission Zone
Kama una more polluted car ulikuwa unapewa hela kama 6m ya bongo uongezee kununua gari la Umeme na wengine walilipwa zaidi na mpaka pikipiki pia wanalipa ukibadili
Sisi tuna tatizo mahali
Halafu mtu anakuambia wauza mafuta ndio wao ila ajue kuwa mafuta yatakuwepo tu hata iweje kwa viwanda na hata baadhi ya magari kwa mda mrefu sana
China mwaka jana walitengeneza zaidi ya magari milioni moja na wameamua haswa
Mkuu we anza kuomba sehemu za parking kwenye supermarket uweke mfumo wa ku charge magari utatengeneza hela sana