Ndoto ya kuota kesi inamana gani?

Ndoto ya kuota kesi inamana gani?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu

Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi

Ndoto ya pili nimeiota Leo hii
Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za kigeni

Note: sifanyi kazi yoyote ya kuuza magendo
 
Ndoto tu hizo achana nazo.
 
Kwa jinsi navyoelewa Mimi ni kuwa ndoto ambazo ni destiny yako ambazo zinaweza kutokea katika real life ni zile ambazo zipo Symbolic.

Ila kuhusu mambo ambayo tunaota wengi ni kutokana na Maisha yetu na Kama mtu unatabia ya kusikiliza negative information hizo ndoto za kuota unauliwa umekamatwa na madawa unaweza kuota kila siku.
 
'ambazo zipo symbolic' sijaelewa elezea vizuri hapa mkuu
 
Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu

Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi

Ndoto ya pili nimeiota Leo hii
Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za kigeni

Note: sifanyi kazi yoyote ya kuuza magendo
Una kesi ya kujibu katika roho.
 
Back
Top Bottom