Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
AminaSali sana ndugu kuna zengwe unaundiwa. Kila kitu huwa kinaanzia ktk ulimwengu wa roho. So hiyo ni taarifa, usipuuzie
Ndoto tu hizo achana nazo.Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu
Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi
Ndoto ya pili nimeiota Leo hii
Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za kigeni
Note: sifanyi kazi yoyote ya kuuza magendo
'ambazo zipo symbolic' sijaelewa elezea vizuri hapa mkuuKwa jinsi navyoelewa Mimi ni kuwa ndoto ambazo ni destiny yako ambazo zinaweza kutokea katika real life ni zile ambazo zipo Symbolic.
Ila kuhusu mambo ambayo tunaota wengi ni kutokana na Maisha yetu na Kama mtu unatabia ya kusikiliza negative information hizo ndoto za kuota unauliwa umekamatwa na madawa unaweza kuota kila siku.
Una kesi ya kujibu katika roho.Habari zenu wadau
Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu
Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi
Ndoto ya pili nimeiota Leo hii
Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za kigeni
Note: sifanyi kazi yoyote ya kuuza magendo
KivipiUna kesi ya kujibu katika roho.
Chunguza maisha yako kama umemkosea mtu kwa namna yoyote ile, basi itakuwa vizuri ukitubu na kuomba msamaha. Hakuna kitu kizuri kama kujipatanisha na wote uliowakosea hata kama ni kidogo.Kivipi
Mshauri aende kwa nabii ganiTafuta laki tano nenda kwa nabii mpatie akuangalizie maana ya ndoto zako.
Aende kwa Kiboko ya wachawiMshauri aende kwa nabii gani