Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

Hizi errors tungewekeza kwenye kutatua matatizo yetu… Tanzania ingekua tajiri
 
Funzo ni kwamba usije kumvamia jirani yako na kumtwanga mangumi bila sababu eti kwa vile wewe ni mkubwa na una nguvu kumshinda, huwezi jua alie nyuma ya huyo jirani yako.

Pengine ana undugu na mandinga, so akijua itakula kwako.
Oh really?

Vita Haina chanzo?
 
Nahisi Urusi haikuwatesa wakristo bure! Tatizo ukristo ulitumiwa na mabepari kwenye mambo yao! Mfano, wamisionari ni miongoni mwa watu waliotumika kama mawakala wa ukoloni Afrika! Hata sisi tungeshtuka mapema pengine Ukoloni usingeingia Afrika!
 
Hizi errors tungewekeza kwenye kutatua matatizo yetu… Tanzania ingekua tajiri
Nadhani errors umeshaziona sasa zichukue na uziweke Tz tuanze kutajirika au kuna la kusubiri? Unadhani nchi kuwa tajiri ni jambo la ndoto? Mzee ni mipango na ukumbuke zipo familia zilizoshikilia mali na utawala wa nchi hii na hawapo tayari kuona jambo linamea ambalo halina faida kwao hata kama linaonekana kuwa na faida kwa taifa mfano:

1. Kuna familia imeshikiria shirika la tanesco ndo maana matatizo hayaishi na hata ukiona kuna tatizo wanataka kulitatua lazima pesa zipigwe eg Richmond/Dowans, IPTL etc

2. Kuna familia imekamatia tenda ya uagizaji magari hasa luxurious yale ya viongongozi hakuna mwenye uwezo wa kuigusa hiyo familia hata kama ukiwa Ikuku.

3. Shirika la reli halina mwenyewe kinachofanyika ni kulidhoofisha kila uchao hata wewe ukipewa leo utapewa mikakati ya kulidhoofisha hata kama matrilioni yatatengwa kwa ajili ya kuliboresha kuna kikwazo kitaletwa ili lisifanye kazi eg sababu ya kutofanya hata majaribio reli ya SGR kutoka dsm to morogoro na akati imeshapona ni kwa sababu abood na makundi ni wasimamizi wa mabasi ya viongozi tena ni viongozi wapole mno hata ukitajiwa utashangaa na wengine nchi nzima hawataki kusikia reli inafanya kazi kwani mabasi na malori ya mizigo hayatapiga kazi. Ndo maana Msigwa alipoulizwa kuhusu kuchelewa majaribio ya SGR akajitetea eti kutokana na UVIKO 19 kichwa cha treni kimechelewa kufika kwa sababu gearbox ilikuwa sijui kanada saiti mira zilikuwa australia na magurudumu yalikuwa ufaransa hivyo kuvikutanisha ikawa kazi ngumu sana ndivyo nilitafasiri hivyo kwa kuwa alisema vipuri vya kichwa cha treni vinatoka nchi tofauti.

4. Jambo lingine ndani ya ccm kuna makundi matatu (a) familia zilizoshikiria mamlaka ya nchi na ni wafanyabiashara wanaoishirikiana na na wafanyabiashara wakubwa hawa wanahakikisha kila kinachojengwa kwa fedha ya wananchi kinawafaidisha wao na wananchi wataendelea kuumia.
(b) kuna kundi ambolo linatekeleza maagizo ya mamlaka hawa ni top layers kule usalama, polisi, jw, uhamiaji, magereza, takukuru, etc hawa hupewa mpunga na maisha bora ili kutekeleza maagizo ya wakubwa mengi yanakandamiza mwananchi na kuneemesha wakubwa.
(c) kundi hili ni wanachama wa kawaida ambao hawana madaraka katika nchi ila huwa wanashirikishwa kuoitisha majina ya walioteuliwa na wakubwa kwa kupewa posho kofia etc lakini hawana walijualo juu ya mustakabali wa maisha yao hata nchi kwa ujumla.
Mwisho unapozungumzia nchi yetu kuwa tajiri basi ukumbuke kuwa siyo kwamba tunashindwa kuwa hivyo ila utajiri huo umeelekezwa kwa familia chache ili ziendelee kutawala.
 
Actually Russia na USA utajiri Uko kwa wachache tuuu

We ar ego’s kwenye ya wenzetu
 
Halafu source ya taarifa zako ni BBC au sio?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Funzo ni kwamba usije kumvamia jirani yako na kumtwanga mangumi bila sababu eti kwa vile wewe ni mkubwa na una nguvu kumshinda, huwezi jua alie nyuma ya huyo jirani yako.

Pengine ana undugu na mandinga, so akijua itakula kwako.
Hivi ni haujaelewa sababu ya Urusi kuipiga Ukraine au basi tu umeamua kuwa shabiki wa marekani?
 
Maumivu ya uzazi yakizidi nenda leba kamuone daktari.
 
ETI NA WEWE NI MCHAMBUZI, UMESHINDWA KUELEWA MAMBO YA BANDARI NDO UJE UMUELEWE PUTIN JINGA KABISA WEWE
 
Hivi ni haujaelewa sababu ya Urusi kuipiga Ukraine au basi tu umeamua kuwa shabiki wa marekani?
Sababu zinazotolewa na Urusi juu ya uvamizi wake ni za kipuuzi. Ile ni nchi huru na wala sio mkoa wao.

Sasa ina uhuru wa kuamua chochote juu ya hatma yao bila kuingiliwa na nchi yoyote.
 
Wewe jamaa ni mweupe sana akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…