Hahaha Mkuu Marekani siku zote anapotaka kufanikisha jambo lake, huwa hajali wala kuangalia hasara anayopata kwa muda fulani.
Ndio maana nikakwambia hata lile shambulizi la Sep 11 ni wao ndio waliolipanga.
Kweli walipata hasara kwa kupoteza mamia ya raia, mali na vitu mbali mbali. Lakini matokeo yake wamerudisha hasara na faida juu kwa kupitia njia ya uwani (vita vya Osama)
Sasa hii hasara unayoiona wewe leo usidhani kuwa bunge la Marekani, FBI, CIA, wasomi wao na serikali kwa ujumla hawaioni au hawakuijua kama itapatikana. Walijua sana kama hasara itapatikana aidha kwa mwaka au miaka, lkn wanajua mwisho wa siku watafanikiwa wanachokilenga kwa sababu vita hiyo haiwazuii kuendelea na shughuli wezao za ndani hata kwa miaka 10 ijayo.
Swali je ikitokea sasa hiyo vita ikapiganwa hiyo miaka 10 ijayo, hali ya kijeshi, kiuchumi na kimaisha huko Urusi itakuaje?