Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Mkuu Marekani siku zote anapotaka kufanikisha jambo lake, huwa hajali wala kuangalia hasara anayopata kwa muda fulani.Mimi naona hapo Ukraine marekani anapata hasara sana kijeshi na kifedha. Kwasasa serikali ya Ukraine inafadhiliwa na NATO na jumuiya ya ulaya.
Na kijeshi anapata hasara sana kwa maana kils silaha anayopeleka inadhibitiwa na Russia mpaka mfumo wake wa ulinzi wa anga aliokuwa anajimwambafai naao umeweza kurandikwa. Hali hiyo inamwalibia sana kwenye biashara yake ya silaha
Kote huko nishapita na kusoma habari mbali mbali kuhusiana na vita hiyo, lakini wewe subiri kuna siku nitarudi huku kukuambua usome tena nilichoandika hapa.Kuna thread inayohusiana na vita hii. Mkuu nakukaribisha kwenye thread hiyo ili uje upate uelewa zaidi wa vita hii. Achana na ushambenga huu!!
Hili shambulio liliathiri vipi urusi?hakuna athari yoyote na bado Ukraine wanaendelea kupigwa mpka makao makuu yao kwa hiyo acha mihemukoKote huko nishapita na kusoma habari mbali mbali kuhusiana na vita hiyo, lakini wewe subiri kuna siku nitarudi huku kukuambua usome tena nilichoandika hapa.
Pale Vietnam walikimbia kaka, hawakuteka hata kijiji... hata Japan walitumia nuclear weapons.. je urusi atumie nuclear weapons?
USA hajawahi pigana vita ya peke yake akashinda? Hata hii amawatanguliza Nato na Ukraine, mpka leo Ukraine wamepoteza 20% ya ardh. Sasa US ana msaada gani?
Nilikuambia it is useless attack hukutaka kusikia usiwe na mihemkoVipi wakuu,
Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza...
1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo baadae.
2. Kuna watu walihisi vita hii alievamiwa ni M-Ukraine peke yake, hivyo basi lolote linalotokea lipo juu ya kichwa chake mwenyewe (m-ukraine)
3. Wengine walihisi kwamba pamoja na kwamba M-Ukraine anapata support fulan ya silaha kutoka kwa wakubwa wakiongozwa na mtemi wa dunia (USA) ila hatokuwa na uwezo wa kufika mbali maana ngoma ya mtoto siku zote huwa haikeshi nk.
Sasa ndugu zangu niwambie tu kwamba hii vita ya Ukraine sio ya Ukraine tu kama wengi wanavyofikiria, bali ni vita ya Rusia na nchi bandia ya Marekani ambapo hilo jina la nchi ya Ukraine na ardhi yake vinatumika kama kichaka tu ili kuhalalisha kile kinachokwenda kufanywa na Marekani siku za usoni.
Putin analijua hili ndio maana anatumia nguvu kubwa kujaribu kupambana na kinvuli hicho cha Marekani, huku Marekani yenyewe original ikimchora na kuendelea kumchosha ili mwisho wa siku wamalize mchezo kiulaini kama vile mlevi anaeangushwa na ganda la ndizi.
Wakati Mmarekani anapanga mikakati yake kupitia Ukraine (Marekani bandia) kuna ndugu zetu warashia wa kwamtogole na mwanarumango walikuwa wakipanua midogo yao kumsifia Putin na jeshi lake, huku wengine wakiamini kwamba hakuna siku ambayo M-Ukraine ataweza kuifikia ardhi ya Putin kirahisi.
Sasa Mungu sio Athumani leo hii kila kitu kipo wazi kwamba Mmarekani anapoamua lake hakuna pa kwenda kujificha. Namaanisha hata ukiwa umejificha katika mji uliozungukwa na mitambo ya namna gani bado atakutumia mizinga huko huko ikufukunyue.
Hapa tunapoongea tayari Marekani ameshaingia hadi chumbani kwa Putin (Moscow) na kufanya maangamizi, huku kwao Marekani kina 50Cent na Jay Z wakiendelea kula mziki bila bughuza yoyote ya mabomu au rocket.
Kwa sasa inasemekana Putin anaishi pangoni kama ilivyokuwa kwa Sadam, lkn nakuhakikishieni, kama hajajitokeza mapema kuomba msamaha au kukimbilia China kuomba hifadhi basi ajiandae kukutana na yale aliyokutana nayo Saddam, Gadafi.
Picha ndio kwanza linaanza. Marekani original na NATO yake bado hawajaingia kazini.
Time will tell...
View attachment 2640177View attachment 2640178
Wapi Russia kwingine alikovamia na kuchukua maeneo? Hayo maeneo aliochukua hapo Ukraine, zipo asbabu za msingi sanaInategemea na aina ya masilahi. NATO na Marekani wanavamia kwa lengo la kujipatia tu rasilimali za nchi husika kama vile mafuta, madini nk.
Lakini Urusi inavamia kwa lengo la kuteka na kuchukua ardhi ya wengine.
Hivi umesikia kuwa leo drone imemkosa kosa katika makazi yake madogo (ikulu ndogo) huko Moscow?Hayo ni mawazo yake kilinngana na upeo wako. Kama ingekuwa hibuo unavyofikiri marekani as hasingekuwa anahaha hapo Ukraine
Ok nimekuelewa mkuuWapi Russia kwingine alikovamia na kuchukua maeneo? Hayo maeneo aliochukua hapo Ukraine, zipo asbabu za msingi sana
Utawala wa Zelensky ulikowa wa kikatili sana kwa watu wa maeneo hayo kwasababu tu wana asili ya urusi na ndio watu waliopinga sana maponduzi yaliyofanywa kwa, mwongozo wa marekani mwaka 2014 ya kumuondoa rais alali
Russia sio kama kayachukua hayo maeneo kwa nguvu. Watu wa maeneo hayo wameitakaa kuwa chini ya Zelensky na Ukraine na kutaka wao kwa hiari yao wenyewe kuniunga na Russia. Alichofanya putin ni kuwakubalia ombi lao
Marekani mwenuewe anachukua maeneo ya nchi nyingi tu kwa kisingizio cha kuweka military base. Na akisha weka mahali base yake, basi msahau kabisa hilo eneo.
Miaka ya tisini wajapani walitaka marekani aondoe base yake ktk nchi yao. Waliandamana sana na kufanya juhudi nyingi lakini marekani ameweka kigingi mpaka kesho
Kila kitu huanza hatua kwa hatua, mfano mtoto huzaliwa, hukaa, hutambaa, husimama na hatimae kutwmbea. Pia wanasemaga kuwa mbuyu ulianza kama mchicha.Hili shambulio liliathiri vipi urusi?hakuna athari yoyote na bado Ukraine wanaendelea kupigwa mpka makao makuu yao kwa hiyo acha mihemuko
Sasa mbona unaonekana kuhitimisha na kuanza kumtangaza mshindi kabla ya dakika 90.Vita ina mwaka 1 na nusu. Yani kama mechi sasa ni kipindi cha pili na team kubwa ishaanza kushambuliwa katika uwanja wake.
Nimechek sn 😀Boss, Umechambua kishabiki mno. Tunakosa la kujifunza kupitia uzi wako.
Hapa umezungumza ujinga mwingi sana. Ukraine ilikuwa inapambana na kikundi cha waasi kilichokuwa kinaungwa mkono na Urusi ili kuiondoa Serikali halali madarakani. Hii hoja eti Urusi kaenda kusaidia raia walio na Urusi ni mfu kabisa, wale ni raia wa Ukraine.Wapi Russia kwingine alikovamia na kuchukua maeneo? Hayo maeneo aliochukua hapo Ukraine, zipo asbabu za msingi sana
Utawala wa Zelensky ulikowa wa kikatili sana kwa watu wa maeneo hayo kwasababu tu wana asili ya urusi na ndio watu waliopinga sana maponduzi yaliyofanywa kwa, mwongozo wa marekani mwaka 2014 ya kumuondoa rais alali
Russia sio kama kayachukua hayo maeneo kwa nguvu. Watu wa maeneo hayo wameitakaa kuwa chini ya Zelensky na Ukraine na kutaka wao kwa hiari yao wenyewe kujiunga na Russia. Alichofanya putin ni kuwakubalia ombi lao
Marekani mwenuewe anachukua maeneo ya nchi nyingi tu kwa kisingizio cha kuweka military base. Na akisha weka mahali base yake, basi msahau kabisa hilo eneo.
Miaka ya tisini wajapani walitaka marekani aondoe base yake ktk nchi yao. Waliandamana sana na kufanya juhudi nyingi lakini marekani ameweka kigingi mpaka kesho
Bora ukae kimya tu maana huna unachokijua katika hii vita.Hapa umezungumza ujinga mwingi sana. Ukraine ilikuwa inapambana na kikundi cha waasi kilichokuwa kinaungwa mkono na Urusi ili kuiondoa Serikali halali madarakani. Hii hoja eti Urusi kaenda kusaidia raia walio na Urusi ni mfu kabisa, wale ni raia wa Ukraine.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Utakuwa unawashwa washwa kwenye mojawapo ya orifices.Bora ukae kimya tu maana huna unachokijua katika hii vita.
Ndyo ulipoiashiaa kufikiriaa ivi nyie mnaichkulia Russia kam taifaa LA kitoto tu endelea kufurahisha jukwaaYa ni kweli mkuu, ila ogopa sana watu wanaoitwa CIA. Hawa kadri siku zinavyokwenda, vita vinavyozidi kupiganwa ndivyo na wao wanavyozidi kujisogeza karibu na maeneo muhimu na watu muhimu huko Russia kimya kimya.
Itafika kipindi Putin atabonyeza akijua anabonyeza kitufe cha nyuklia ili tufe wote, kumbe anabonyeza toy tu huku kitufe chenyewe original kikiwa kimeshachukuliwa muda mrefu na Marekani kupitia hao hao vijana wa Putin kwa njia za kijasusi.
Let's say mfano jasusi wa Putin analipwa M10 kwa ajili ya kutembea na betri au funguo za kitufe hicho, afu mzee Biden amauahidi jasusi huyo kuwa atampa M500 na nyumba, magari na uraia wa kudumu tena wa hadhi ya heshima wa Marekani. Atakataa?
Unafikiri Saddam alipatikana vipi huko shimoni alipojificha kama sio hela zilitumika kwa baadhi ya walinzi wake tena aliowaamini?
Yani lleo hii unaifananisha rusiaa na Iraq kwamba walinzi wakiongwaa milioni kumi au milioni 200 watamuuzaa raissi wao unaisi wao hawana intelegencia nzuri kama yaa wamarekani unaisi wao ni kama nchi za daraja lenu kweli vichaa ni wengi nchii hiiYa ni kweli mkuu, ila ogopa sana watu wanaoitwa CIA. Hawa kadri siku zinavyokwenda, vita vinavyozidi kupiganwa ndivyo na wao wanavyozidi kujisogeza karibu na maeneo muhimu na watu muhimu huko Russia kimya kimya.
Itafika kipindi Putin atabonyeza akijua anabonyeza kitufe cha nyuklia ili tufe wote, kumbe anabonyeza toy tu huku kitufe chenyewe original kikiwa kimeshachukuliwa muda mrefu na Marekani kupitia hao hao vijana wa Putin kwa njia za kijasusi.
Let's say mfano jasusi wa Putin analipwa M10 kwa ajili ya kutembea na betri au funguo za kitufe hicho, afu mzee Biden amauahidi jasusi huyo kuwa atampa M500 na nyumba, magari na uraia wa kudumu tena wa hadhi ya heshima wa Marekani. Atakataa?
Unafikiri Saddam alipatikana vipi huko shimoni alipojificha kama sio hela zilitumika kwa baadhi ya walinzi wake tena aliowaamini?