Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau ww umeweza kunishawishi nielewe ulichoandika.Wacha propaganda wewe. Kama Marekani ingekuwa na haja ya kuivamia Urusi ingefanya hivyo miaka ya tisini baada ya USSR kusambaratika na kuiacha urusi ikiwa maskini sana. Marekani iliisaida sana Urusi kwanza kupata silaha zote za Nyuklia zilizokuwa Ukraine, na pia kuipa mikopo mingi sana ya kufufua uchumi wake. Putin anapokosa ajenda anatengeneza maadui wa cold war kutisha raia wake na yeye kuonekana mtetezi wao.
jeuri ya Putin ipo kwenye nyuklia kwamba akiona maji ya utosi anabonya batani tufe wote ila ubavu wa kupamba na marekani hana na hatowahi kuja naoVipi wakuu,
Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza...
1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo baadae.
2. Kuna watu walihisi vita hii alievamiwa ni M-Ukraine peke yake, hivyo basi lolote linalotokea lipo juu ya kichwa chake mwenyewe (m-ukraine)
3. Wengine walihisi kwamba pamoja na kwamba M-Ukraine anapata support fulan ya silaha kutoka kwa wakubwa wakiongozwa na mtemi wa dunia (USA) ila hatokuwa na uwezo wa kufika mbali maana ngoma ya mtoto siku zote huwa haikeshi nk.
Sasa ndugu zangu niwambie tu kwamba hii vita ya Ukraine sio ya Ukraine tu kama wengi wanavyofikiria, bali ni vita ya Rusia na nchi bandia ya Marekani ambapo hilo jina la nchi ya Ukraine na ardhi yake vinatumika kama kichaka tu ili kuhalalisha kile kinachokwenda kufanywa na Marekani siku za usoni.
Putin analijua hili ndio maana anatumia nguvu kubwa kujaribu kupambana na kinvuli hicho cha Marekani, huku Marekani yenyewe original ikimchora na kuendelea kumchosha ili mwisho wa siku wamalize mchezo kiulaini kama vile mlevi anaeangushwa na ganda la ndizi.
Wakati Mmarekani anapanga mikakati yake kupitia Ukraine (Marekani bandia) kuna ndugu zetu warashia wa kwamtogole na mwanarumango walikuwa wakipanua midogo yao kumsifia Putin na jeshi lake, huku wengine wakiamini kwamba hakuna siku ambayo M-Ukraine ataweza kuifikia ardhi ya Putin kirahisi.
Sasa Mungu sio Athumani leo hii kila kitu kipo wazi kwamba Mmarekani anapoamua lake hakuna pa kwenda kujificha. Namaanisha hata ukiwa umejificha katika mji uliozungukwa na mitambo ya namna gani bado atakutumia mizinga huko huko ikufukunyue.
Hapa tunapoongea tayari Marekani ameshaingia hadi chumbani kwa Putin (Moscow) na kufanya maangamizi, huku kwao Marekani kina 50Cent na Jay Z wakiendelea kula mziki bila bughuza yoyote ya mabomu au rocket.
Kwa sasa inasemekana Putin anaishi pangoni kama ilivyokuwa kwa Sadam, lkn nakuhakikishieni, kama hajajitokeza mapema kuomba msamaha au kukimbilia China kuomba hifadhi basi ajiandae kukutana na yale aliyokutana nayo Saddam, Gadafi.
Picha ndio kwanza linaanza. Marekani original na NATO yake bado hawajaingia kazini.
Time will tell...
View attachment 2640177View attachment 2640178
kuna viumbe wengine ni waajabu sanaHata mimi nilicheka sana kwenye ile comment yake 😂😂😃
Ni ngumu sana kumdhibiti binadamu kwa 100%.. Kumbuka. September 11 Marekani pia alifanyiwa ugaidi mkubwa sehemu nyeti ndani ya marekani. Hata mke wako au kipenzi chako hautaweza kumdhibiti 100% ili asichepuke🤣🤣Sasa wewe unafikiri hao magaidi wanaweza kuanzisha ugaidi ndani ya ardhi ya nchi kubwa kama Russia bila kuwa na support ya Mmarekani nyuma yao.
Wewe unafikiri hizo drone walizipata wapi?
Na ziliweza kuingiaje nchi Urusi?
Pale Vietnam walikimbia kaka, hawakuteka hata kijiji... hata Japan walitumia nuclear weapons.. je urusi atumie nuclear weapons?Wewe umemezeshwa maneno lkn kwa bahati mbaya waliokumezesha wamekuficha baadhi ya mambo.
Marekani kama Marekani huwa haiingii vitani hovyo hovyo, bali hupigana tu vita vya mikakati kama hizi unazoziona za mbali mbali, huku Marekani kwenyewe watu wakiendelea na shughuli zao za kimaisha, kimziki, burudani, watu wanaingia nchini na kutoka, biashara zinafanyika kama kawaida, nk bila hata watu kujua kama nchi hiyo ipo katika mikakati ya vita.
Lakini Marekani yenyewe kama inaamua kuingia vitani kwa style hii ya Urusi kwamba imeingia vitani hadi kukusanya wanajeshi wake wa akiba, vijana kulazimishwa kupigana nk, ujue hapo ni lazima yatokee ya Japan kitu ambacho dunia na Marekani yenyewe haitaki kukishuhudia.
Ukitaka kujua kama Marekani inapoingia kwenye vita kamili kama ya Urusi huwa inashinda au inashindwa iulize Japan na Vietnams kilichowakuta katika ardhi yao.
Ni kweli ni ngumu kumdhibiti binadam, lkn lile tukio la Sep 11 lilipangwa na Marekani wenyewe wakishirikiana na CIA mwenzao wa kiarabu aliejipa jina la Osama bin Laden, ili wapate uhalali wa kwenda kuzivamia nchi za kiarabu zenye rasilimali za mafuta na mihadarati kwa kisingizio cha kumtafuta Osama kwenye nchi hizo.Ni ngumu sana kumdhibiti binadamu kwa 100%.. Kumbuka. September 11 Marekani pia alifanyiwa ugaidi mkubwa sehemu nyeti ndani ya marekani. Hata mke wako au kipenzi chako hautaweza kumdhibiti 100% ili asichepuke🤣🤣
Marekani alitumia tukio hilo la September 11 kuivamia Afghanistan. TUnakubaliana hapa kuwa ule uvamibi wa NATO kuwa ni batili??Ni kweli ni ngumu kumdhibiti binadam, lkn lile tukio la Sep 11 lilipangwa na Marekani wenyewe wakishirikiana na CIA mwenzao wa kiarabu aliejipa jina la Osama bin Laden, ili wapate uhalali wa kwenda kuzivamia nchi za kiarabu zenye rasilimali za mafuta na mihadarati kwa kisingizio cha kumtafuta Osama kwenye nchi hizo.
Ndio maana mwanzo mwanzo vijana wengi (hasa wakiislamu) waliokuwa hawajajua kinachoendelea kati ya Osama na Marekani walikuwa wanafurahia na kuona kweli kwamba jamaa kawaweza Marekani na kamwe hawatoweza kumdhibiti nk.
Ila duniani hakuna lililo la siri ambalo mwisho wake hugeuka kuwa la dhahiri, baadae wenye akili w kpakaanza kugundua kwamba Osama na genge lake walikuwa ni ma CIA wa Marekani waliotumiwa kama chambo kwa taifa hilo kubwa duniani lenye mbinu mbali mbali za kijasusi kuzivamia nchi walizozilenga kwa mipango mahsusi.
Ndio maana toka kitangazwe kilichoitwa kuwa ni kifo chake mpaka leo hakuna mwananchi au hata mwanandishi habari wa kitaifa au kimataifa aliwahi kushuhudia mwili wake au kaburi lake kama ilivyo kwa wale waliokufa vifo vya kweli kina Saddam Hussein, Gadafi na wengine wa aina hiyo. Just unganisha dot utaelewa ninachoandika hasa pale Osama mwenyewe alipoanza kuwaandaa watu kisaikolojia kwamba eti wako kina Osama wengi wanaofanana, hivyo hata akifa yeye wasishangae watapomuona mungine anaefanana na yeye.
Osama hakuuwawa na Marekani kama tulivyoaminishwa, bali yupo zake Marekani akila bata na watu wakikutana nae njiani pengine akiwa kanyoa au kapunguza urefu wa ndevu wanakumbuka ile kauli yake kwamba alisema yeye akifa kuna wengine watakuwepo kama yeye ili watu wasishtuke kuwa jamaa yupo hai salama bin salmini akila zake burger, tende na nyama choma kwa kazi nzuri aliyoifanyia Marekani.
Si unaona siku hizi hata wale vijana waliokuwa wanajifanya ni itikadi kali duniani wameshapungua, baada ya kugundua kuwa Alkaida sijui Islamic state nk ni vitengo vya CIA vilivyopandikizwa huko yanapopatikana mafuta kwa kazi maalum.
Ya ni kweli mkuu, ila ogopa sana watu wanaoitwa CIA. Hawa kadri siku zinavyokwenda, vita vinavyozidi kupiganwa ndivyo na wao wanavyozidi kujisogeza karibu na maeneo muhimu na watu muhimu huko Russia kimya kimya.jeuri ya Putin ipo kwenye nyuklia kwamba akiona maji ya utosi anabonya batani tufe wote ila ubavu wa kupamba na marekani hana na hatowahi kuja nao
Nakubaliana na wewe kuwa vamizi zote za NATO kuanzia mwaka 2000 hadi leo huko Iraq, Afghanistan, Libya nk zilikuwa batili.Marekani alitumia tukio hilo la September 11 kuivamia Afghanistan. TUnakubaliana hapa kuwa ule uvamibi wa NATO kuwa ni batili??
Putin alisema yeye Magaid hana cha mswalie mtume anawawahisha ahera wakapate mademu 60.Umeandika kama uko Shimo la Tewa hujui lolote..Kwani mara ngapi watu wanauawawa Washngton hata watu 100 hata wanafunzi??? Hujawahi kuona?
Magaidi waliipiga hiyo marekani hapo hapo kwao na inapigwa mpaka leo hivyo usiseme mambo kama unahara...tulia..Putin yuko hapo na anaendelea na kazi hata leo asbh ameingia ofisni..Russia sio Zimbabwe subiri uone kinachofuata...
Ndio maana nikakwambia kuwa Marekani anapigana vita ya kimkakati, ambayo haimpi hasara kubwa kifedha na kijeshi.Pale Vietnam walikimbia kaka, hawakuteka hata kijiji... hata Japan walitumia nuclear weapons.. je urusi atumie nuclear weapons?
USA hajawahi pigana vita ya peke yake akashinda? Hata hii amawatanguliza Nato na Ukraine, mpka leo Ukraine wamepoteza 20% ya ardh. Sasa US ana msaada gani?
Hayo ni mawazo yako kulingana na upeo wako. Kama ingekuwa hivyo unavyofikiri marekani hasingekuwa anahaha hapo UkraineYa ni kweli mkuu, ila ogopa sana watu wanaoitwa CIA. Hawa kadri siku zinavyokwenda, vita vinavyozidi kupiganwa ndivyo na wao wanavyozidi kujisogeza karibu na maeneo muhimu na watu muhimu huko Russia kimya kimya.
Itafika kipindi Putin atabonyeza akijua anabonyeza kitufe cha nyuklia ili tufe wote, kumbe anabonyeza toy tu huku kitufe chenyewe original kikiwa kimeshachukuliwa muda mrefu na Marekani kupitia hao hao vijana wa Putin kwa njia za kijasusi.
Let's say mfano jasusi wa Putin analipwa M10 kwa ajili ya kutembea na betri au funguo za kitufe hicho, afu mzee Biden amauahidi jasusi huyo kuwa atampa M500 na nyumba, magari na uraia wa kudumu tena wa hadhi ya heshima wa Marekani. Atakataa?
Unafikiri Saddam alipatikana vipi huko shimoni alipojificha kama sio hela zilitumika kwa baadhi ya walinzi wake tena aliowaamini?
Sasa kwanini kuna vilio vingi sana Russia anapofanya mambo kwa maslahi yake??Nakubaliana na wewe kuwa vamizi zote za NATO kuanzia mwaka 2000 hadi leo huko Iraq, Afghanistan, Libya nk zilikuwa batili.
I mean zilikuwa ni za kimasilahi tu.
Ashachelewa mkuu. Magaidi wakishafanikiwa kutoka katika mpaka hadi katika capital city yako basi ujue hapo ni kwisha habari yako.Putin alisema yeye Magaid hana cha mswalie mtume anawawahisha ahera wakapate mademu 60.
Mimi naona hapo Ukraine marekani anapata hasara sana kijeshi na kifedha. Kwasasa serikali ya Ukraine inafadhiliwa na NATO na jumuiya ya ulaya.Ndio maana nikakwambia kuwa Marekani anapigana vita ya kimkakati, ambayo haimpi hasara kubwa kifedha na kijeshi.
Marekani haogopi vita kamili, maana ni wazi kuwa akiingia mzigoni kwa vita kamili bado atashinda tu mchana kweupe.
Sema kinachofanya Marekani asipigane vita kamili ni kwa sababu hataki uchumi wake uanguke kutoka kuwa taifa namba 1 tajiri hadi kuwa taifa namb 2, 3 au 5.
Kitendo cha yeye kutumia nchi kama Ukraine ambayo iko mlangoni mwa Russia kupigana vita vyake sio cha kitoto kinahitaji fedha, mbinu, mikakati na maarifa ya hali ya juu.
Urusi iliwahi kujaribu kufanya hivyo kwa Cuba lkn kilichotokea mpaka leo mnakiona. Vikwazo vidogo tu vimesababisha raia wengi wa nchi hiyo kukaribia kula nyasi.
Mpaka leo hakuna tena nchi iliyojirani na Marekani inaweza kufanya mzaha ule.
Mkuu amka usije ukakojolea kitandani.Vipi wakuu,
Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza...
1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo baadae.
2. Kuna watu walihisi vita hii alievamiwa ni M-Ukraine peke yake, hivyo basi lolote linalotokea lipo juu ya kichwa chake mwenyewe (m-ukraine)
3. Wengine walihisi kwamba pamoja na kwamba M-Ukraine anapata support fulan ya silaha kutoka kwa wakubwa wakiongozwa na mtemi wa dunia (USA) ila hatokuwa na uwezo wa kufika mbali maana ngoma ya mtoto siku zote huwa haikeshi nk.
Sasa ndugu zangu niwambie tu kwamba hii vita ya Ukraine sio ya Ukraine tu kama wengi wanavyofikiria, bali ni vita ya Rusia na nchi bandia ya Marekani ambapo hilo jina la nchi ya Ukraine na ardhi yake vinatumika kama kichaka tu ili kuhalalisha kile kinachokwenda kufanywa na Marekani siku za usoni.
Putin analijua hili ndio maana anatumia nguvu kubwa kujaribu kupambana na kinvuli hicho cha Marekani, huku Marekani yenyewe original ikimchora na kuendelea kumchosha ili mwisho wa siku wamalize mchezo kiulaini kama vile mlevi anaeangushwa na ganda la ndizi.
Wakati Mmarekani anapanga mikakati yake kupitia Ukraine (Marekani bandia) kuna ndugu zetu warashia wa kwamtogole na mwanarumango walikuwa wakipanua midogo yao kumsifia Putin na jeshi lake, huku wengine wakiamini kwamba hakuna siku ambayo M-Ukraine ataweza kuifikia ardhi ya Putin kirahisi.
Sasa Mungu sio Athumani leo hii kila kitu kipo wazi kwamba Mmarekani anapoamua lake hakuna pa kwenda kujificha. Namaanisha hata ukiwa umejificha katika mji uliozungukwa na mitambo ya namna gani bado atakutumia mizinga huko huko ikufukunyue.
Hapa tunapoongea tayari Marekani ameshaingia hadi chumbani kwa Putin (Moscow) na kufanya maangamizi, huku kwao Marekani kina 50Cent na Jay Z wakiendelea kula mziki bila bughuza yoyote ya mabomu au rocket.
Kwa sasa inasemekana Putin anaishi pangoni kama ilivyokuwa kwa Sadam, lkn nakuhakikishieni, kama hajajitokeza mapema kuomba msamaha au kukimbilia China kuomba hifadhi basi ajiandae kukutana na yale aliyokutana nayo Saddam, Gadafi.
Picha ndio kwanza linaanza. Marekani original na NATO yake bado hawajaingia kazini.
Time will tell...
View attachment 2640177View attachment 2640178
Kuna thread inayohusiana na vita hii. Mkuu nakukaribisha kwenye thread hiyo ili uje upate uelewa zaidi wa vita hii. Achana na ushambenga huu!!Vipi wakuu,

Inategemea na aina ya masilahi. NATO na Marekani wanavamia kwa lengo la kujipatia tu rasilimali za nchi husika kama vile mafuta, madini nk.Sasa kwanini kuna vilio vingi sana Russia anapofanya mambo kwa maslahi yake??