Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

Vipi wakuu,

Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza...

1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo baadae.

2. Kuna watu walihisi vita hii alievamiwa ni M-Ukraine peke yake, hivyo basi lolote linalotokea lipo juu ya kichwa chake mwenyewe (m-ukraine)

3. Wengine walihisi kwamba pamoja na kwamba M-Ukraine anapata support fulan ya silaha kutoka kwa wakubwa wakiongozwa na mtemi wa dunia (USA) ila hatokuwa na uwezo wa kufika mbali maana ngoma ya mtoto siku zote huwa haikeshi nk.

Sasa ndugu zangu niwambie tu kwamba hii vita ya Ukraine sio ya Ukraine tu kama wengi wanavyofikiria, bali ni vita ya Rusia na nchi bandia ya Marekani ambapo hilo jina la nchi na ardhi yake vinatumika tu kama kichaka ili kuhalalisha kile kinachokwenda kufanywa na Marekani siku za usoni.

Putin analijua hili ndio maana anatumia nguvu kubwa kujaribu kupambana na kinvuli hicho cha Marekani, huku Marekani yenyewe original ikimchora na kuendelea kumchosha ili mwisho wa siku wamalize mchezo kiulaini kama vile mlevi anaeangushwa na ganda la ndizi.

Wakati Mmarekani anapanga mikakati yake kupitia Ukraine (Marekani bandia) kuna ndugu zetu warashia wa kwamtogole na mwanarumango walikuwa wakipanua midogo yao kumsifia Putin na jeshi lake, huku wengine wakiamini kwamba hakuna siku ambayo M-Ukraine ataweza kuifikia ardhi ya Putin kirahisi.

Sasa Mungu sio Athumani leo hii kila kitu kipo wazi kwamba Mmarekani anapoamua lake hakuna pa kwenda kujificha. Namaanisha hata ukiwa umejificha katika mji uliozungukwa na mitambo ya namna gani bado atakutumia mizinga huko huko ikufukunyue.

Hapa tunapoongea tayari Marekani ameshaingia hadi chumbani kwa Putin (Moscow) na kufanya maangamizi, huku kwao Marekani kina 50Cent na Jay Z wakiendelea kula mziki bila bughuza yoyote ya mabomu au rocket.

Kwa sasa inasemekana Putin anaishi pangoni kama ilivyokuwa kwa Sadam, lkn nakuhakikishieni, kama hajajitokeza mapema kuomba msamaha au kukimbilia China kuomba hifadhi basi ajiandae kukutana na yale aliyokutana nayo Saddam, Gadafi.

Picha ndio kwanza linaanza. Marekani original na NATO yake bado hawajaingia kazini.

Time will tell...

View attachment 2640177View attachment 2640178
Apigwe apigwe mbwa huyoooo 😁😁😁
 
KKu

Kuwa makini kuna warusi wa kwa tandale kwa bibinyau wanakuja...😅😅😅
 
Anae ota ni yeye au wewe?

Amka Moscow watu wanajipigia tu. Tena nyingine naskia zilitumwa wizara ya Ulinzi wakaziwahi.
Bora mchambuzi mwenzangu wa habari umekuja kunisaidia kuwaelewesha hawa warusi wa mwananyamala kwa manyanya.

Wengi wamemezeshwa propaganda kwamba Urusi ina nguvu, na wakati inatolewa kamasi na kimvuli kidogo cha Mmarekani.
 
ngoja nitunze kumbukumbu. baada ya vita kuisha nitakutafuta uje , ueleze Tena hiki ulichisema leo hapa jukwaani, ili sote tujifunze kwa mala nyingine hii conspiracy theory uliyoleta leo. Akilihuru
Muda wowote unakaribishwa mkuu, vipo hauna ndugu zako au rafiki zako huko Moscow uwambie watoke mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi nchi nzima?
 
Back
Top Bottom