Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We fatilia topic uliyo ileta juzi si ulisema huyo mwanajeshi, au nani aliye leta hio thread.Hiyo dini ya muarabu ni kansa kabisa, yaani hamna hata uzalendo kabisa, Mwafrika tena Mtanganyika mwenzenu anachinjwa mnakenua na kusema alikua jasusi...
Mtanzania aende kujiunga na jeshi la Israel afu ulete kilio hapa, alipo enda Israel kwanini alijiunga na jeshi?
Huyo hakuwa mwanafunzi alidanganya hapa Tanzania anaenda kusoma kumbe kaingia jeshi la Israel, hata wewe nenda wanahitajia wanajeshi. Wa Israel wanakimbia huko Gaza.