Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 351
- 887
Safi sana kijana wangu, najisikia faraja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana Mkuu🙏Napenda sana makala za kihistoria. Hongera sana Kwa makala nzuri
Kwanini wasema hivi?Kwa Ujerumani kupigana tena full vita itakayomuhusu moja kwa moja kwa sasa sidhani. Ataishia kutoa support ya silaha na wanajeshi.
Shukran sana Mkuu🙏 Ama kwa hakika wewe ni Mwalimu wangu. Allah akutunze siku zote🙏Safi sana kijana wangu, najisikia faraja sana
Vita ya Kwanza alianzisha Austria. Mfalme wa Austria baada ya Toto lake Bishi kwenda kumuowa Sophia ambaye hakutoka Familia ya Kifalme, Baba yake aliyekuwa Mtawala wa Austria huku Mwanaye aliyeishi Czech nankutawala hapo, alitaka sana kumpoteza. Alijua akienda Kosovo anakwenda kuuliwa ila akaacha wamuuwe waSerbia ( Black Hand).Juma...mimi sikujui ila nimeona unajulikana...nina miaka 18 tokea niliposoma gazeti la philadelphia trumpet..la mwaka 1996 ...
Una akili
Unajitambua
Na uko mbele ya muda wako(ahead of your time)
Germany ndio ataanzisha vita ya tatu ya dunia
Alianzisha ya kwanza
Akaanzisha ya pili
Na ataanzisha ya tatu....
Yeye na russia au either Iran....
Mfalme wa kaskazini na wa kusini....
MUNGU NDIO ANAJUA...
Na vitu vyao ni imara kama wao. Chuma cha Mjerumani. 😁Wajerumani..watu steel watu chuma. Siku zote wanapigwa mande mpaka wanakuwa vumbi..halaf wananyenyuka tena Wana take over
Mwandishi asante kwa Makala nzuri ya Vita za Dunia. Nimejifunza mengi.
Labda tu angalizo kwamba, Taiwan ni Sehemu ya China na bado kidogo waichukue bila hata Risasi moja.
Nadhani itakuwa Kama Hong Kong na China. Muda ulivyofika, China wakapandisha Bendera tu.
Samahani ni ‘typo’, nilikusudia kuandika 31Septemba 32 ...... Siku zilikuwa 60 Kwa mwezi au 40!!??
Ni ‘typo’ mkuu, ilipaswa kuwa 31.