Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

Vita ya Kwanza alianzisha Austria. Mfalme wa Austria baada ya Toto lake Bishi kwenda kumuowa Sophia ambaye hakutoka Familia ya Kifalme, Baba yake aliyekuwa Mtawala wa Austria huku Mwanaye aliyeishi Czech nankutawala hapo, alitaka sana kumpoteza. Alijua akienda Kosovo anakwenda kuuliwa ila akaacha wamuuwe waSerbia ( Black Hand).
Kifo cha huyu Archiduke Franz Ferdinand kilipelekea Austria kuishambulia Serbia jambo ambalo Austria walilitaka sana kulifanyia ila walikosa sababu. Serbia iliposhambuliwa, Russia ikaingilia kumsaidia Mdogo wake. Russia kuingia na Austria kuanza kupata kibano, German akaingilia kumsaidia Mdogo wake.

Hivyo unaona kuwa German HAKUANZISHA WWI ila alianzisha WWII.

Ila Archduke Ferdinand lilikuwa Jitu katili sana. Aliuwa Wanyama na ndege Kama laki 3 hivi na baadhi yao wapo ukutani kwenye Castle lake Konapiste huko Czech Republic.
 
Mwandishi asante kwa Makala nzuri ya Vita za Dunia. Nimejifunza mengi.
Labda tu angalizo kwamba, Taiwan ni Sehemu ya China na bado kidogo waichukue bila hata Risasi moja.
Nadhani itakuwa Kama Hong Kong na China. Muda ulivyofika, China wakapandisha Bendera tu.
 

Ninatazamia kuangazia hilo kwenye makala ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…