kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Mimi sili kama tembo, nakula kiasi na pia sili mataptapNi kuvimbiwa tu ondoa shaka
Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu .!?Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.
Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana kwakweli.
Nilifika sehemu nikaona nipo nchi au ulimwengu mwingine kabisaUko juu mawinguni 🔥🔥🔥View attachment 3285640
Milele amina....Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Mungu .!?
Mbona mimi sina vita na mtu yeyote wa karibuUtashinda vita ijayo itakayo tokana na mtu wa karibu
Hujawahi kujua zina maana au tafsiri gani?Hizo ndoto za kupaa paa nimeota sana nikiwa mdogo.
Ilikua ni kama kila aiku naota napaa, nikimbizwa basi mi nakimbia mpaka napaa 😂😂
Unajua Kila mtu anakuwazia nn 💔Mbona mimi sina vita na mtu yeyote wa karibu
Kuna changamoto utakutananayo siku za usoni lakini hatima yake ni kwamba utaibuka shujaa...Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.
Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana kwakweli.
Lakini ajabu ni kwamba huyo mtu niliye muota namfahamu lakini mpaka sasa sikumbuki sura yakeUnajua Kila mtu anakuwazia nn 💔
Kumbe wewe ushawahi kuliwa kisamvu ndotoni? Aisee pole sana mkuu. Tupe stori ilikuwaje maana mpka umesema ni kwamba tayari uliliwa.Huyo anayekukimbiza alikuwa anataka kula kisamvu chako, uliposhtuka na kukemea na kupaa juu angani maana yake ulinusurika kuliwa kimsavu usiku huo. Hongera sana kwa kuendelea kuulinda ubingwa wako.
Yakikukuta utajua umeotea nn saiv just chillLakini ajabu ni kwamba huyo mtu niliye muota namfahamu lakini mpaka sasa sikumbuki sura yake
Niliona kama nipo sehemu ambayo sio mazingira yangu ya kila siku, chini niliona mandhari ya kijani na magorofa marefu sana.Kuna changamoto utakutananayo siku za usoni lakini hatima yake ni kwamba utaibuka shujaa...
Labda hayo mazingira yalionekanaje unaweza ukaelezea?
Mimi ndyo nilikimbia kwa kujikuta napaa angani bila kutarajiabaada ya kumkemea alikimbia au ww ndo ulimkimbia kwa kupaa!!!???👿