Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

Ndoto ya usiku wa leo imenitisha, msaada kwa anayejua tafsiri au maana

Wewe ni Mtumishi wa Mungu Ndugu kama ulikua huna Taarifa chukua hiyo....! Ni Watu wawili tu wenye Hatima zao kwenye Ulimwengu wa Roho ambao huota Ndoto za Kupaa hewani, Mchawi na Mtumishi wa Mungu ndo maana nikakusalimia Bwana Yesu asifiwe.
Nami naitikia Milele amina.

Hata wewe pia ni mtumishi wa Mungu kwasababu hayo ulivyosema sio kila mtu anaweza kusema..
 
wahi kwa mganga kama wewe ni mshirikina au jiweke kwenye maombi kama imani yako inaamini katika nguvu kubwa iliyoko kwenye maombi, uko katika vita ya kichawi
Mkuu mimi bado sikubali kwamba nipo kwenye vita ya kichawi kwasababu sina ubaya wowote na mtu wala sijawahi jaribu kuloga mtu
 
images (15).jpeg
 
Nilijaribu kumuuliza akadai hata sio mfuatiliaji wa huyo mtu wala hana muda wa kumfikiria.

Nikajaribu kutafakari labda ujumbe umejikita kwenye “Sifa” ya muotaji katika jamii.
Ndoto za maono zinakuaga na dhumuni flani kwako au kwa jamii (unaweza ukaota ndoto nyingi ila ukiota ndoto yenye ufunuo unajua fika hii sio ya kawaida).

Huyo yeye inaonesha ndoto yake haina purpose bali kumbukumbu katika ubongo wake ilitengeneza matukio Kutokana na clip ya mwjk aliowahi kutazama huko nyuma.

Lazima alishawahi kukutana na clip ya Mwijaku mahali.
 
Ndoto za maono zinakuaga na dhumuni flani kwako au kwa jamii (unaweza ukaota ndoto nyingi ila ukiota ndoto yenye ufunuo unajua fika hii sio ya kawaida).

Huyo yeye inaonesha ndoto yake haina purpose bali kumbukumbu katika ubongo wake ilitengeneza matukio Kutokana na clip ya mwjk aliowahi kutazama huko nyuma.

Lazima alishawahi kukutana na clip ya Mwijaku mahali.
Asante mkuu
🤝🤝🤝
 
Nami naitikia Milele amina.

Hata wewe pia ni mtumishi wa Mungu kwasababu hayo ulivyosema sio kila mtu anaweza kusema..
Yes I do...!
Nimeota sana hizo Ndoto Toka nikiwa mdogo....! Na sikuwahi kujua inamaanisha Nini hapo kabla, nilikuja kujua baadaye sana ukubwani....!

Tumtumikie Mungu Mtumishi wa Mungu.
 
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.

Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.

Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana kwakweli.

Utangulizi​

Mungu azidi kukutunza Mtu upendwaye Na Mungu...
Katika Ndoto Nyingi nilizo kutananazo hii nindoto Nzuri zaidi Ambayo Mungu Amekupa kwa ajili yako kakueelezea kilichopo/kinacho kuja na unacho takiwa kukifanya..

Maana Ya Ndoto​

Mungu anakujulisha kuwa katika vita vyote au mahitaji yoyote uliyonayo.. Yapo katika Kuomba unaweza kuvishinda vyote.
Lakini Unatakiwa ufikie Level kubwa ya kiroho ili uweze kubadilisha Maisha Yako ya Kiroho na kimwili.
Pia Jambo Muhimu sana Ni Mtazamo ulionao juu ya Mambo unayo yaona kuwa sahihi kwako Yanaweza kuwa hayapo sahihi. Mfano
Imani yako
Maono yako
Kazi yako
Na huduma yako
Jitahidi Kuomba Kwa juhudi ili upate Nguvu nyingi na Utukufu Mwingi utashinda yote yaliyopo mbele yako..(Kumfanania Kristo)

Neno​

Marko 13:26
[26]Hapo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu.

Waefeso 4:13
[13]hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;

Mwisho​

Karibu kwenye group letu la Siri Za Ndoto kwa kupitia Biblia dini Zotee Mnakaribishwa
Amen

💭Siri za Ndoto / Secrets of Dreams | WhatsApp Channel
 
Back
Top Bottom