kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
- Thread starter
-
- #61
Nami naitikia Milele amina.Wewe ni Mtumishi wa Mungu Ndugu kama ulikua huna Taarifa chukua hiyo....! Ni Watu wawili tu wenye Hatima zao kwenye Ulimwengu wa Roho ambao huota Ndoto za Kupaa hewani, Mchawi na Mtumishi wa Mungu ndo maana nikakusalimia Bwana Yesu asifiwe.
Mpaka umesema hivyo naamini unajua maana yake mkuu, tafadhali naomba unifafanulieHizo ndoto sio za kusimulia mtu.
Humu pamejaa mazombi tupu hayaelewi kitu
Mkuu mimi bado sikubali kwamba nipo kwenye vita ya kichawi kwasababu sina ubaya wowote na mtu wala sijawahi jaribu kuloga mtuwahi kwa mganga kama wewe ni mshirikina au jiweke kwenye maombi kama imani yako inaamini katika nguvu kubwa iliyoko kwenye maombi, uko katika vita ya kichawi
Ina maana gani hii? Kwamba nakaribia kufa?
Ndoto za maono zinakuaga na dhumuni flani kwako au kwa jamii (unaweza ukaota ndoto nyingi ila ukiota ndoto yenye ufunuo unajua fika hii sio ya kawaida).Nilijaribu kumuuliza akadai hata sio mfuatiliaji wa huyo mtu wala hana muda wa kumfikiria.
Nikajaribu kutafakari labda ujumbe umejikita kwenye “Sifa” ya muotaji katika jamii.
Asante mkuuNdoto za maono zinakuaga na dhumuni flani kwako au kwa jamii (unaweza ukaota ndoto nyingi ila ukiota ndoto yenye ufunuo unajua fika hii sio ya kawaida).
Huyo yeye inaonesha ndoto yake haina purpose bali kumbukumbu katika ubongo wake ilitengeneza matukio Kutokana na clip ya mwjk aliowahi kutazama huko nyuma.
Lazima alishawahi kukutana na clip ya Mwijaku mahali.
Yes I do...!Nami naitikia Milele amina.
Hata wewe pia ni mtumishi wa Mungu kwasababu hayo ulivyosema sio kila mtu anaweza kusema..
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi kuyaona.
Wajuzi wa mambo ya ndoto naombeni mnijuze ndoto hii itakuwa na maana au tafsiri gani kwasababu imenitisha sana kwakweli.