Ndoto yangu bado haijatimia

Ndoto yangu bado haijatimia

Natamani kuwa mkaka fulani hivi yaani mtu akisikia jina langu atamani kuniona lakini pia yaani ukiniona unishangae kwa bashasha sana

Af niwe mkaka nae semwa sana na watu zile sifa za kuwa mkaka yule analinga sanaa mambo mengi mengi kila mtu awe natamanio la kuniona sijui nifanyeje
Gily mshamba_hachekwi Uboboh

Hali si shwari hapa [emoji2962][emoji2962][emoji2962]
 
Natamani kuwa mkaka fulani hivi yaani mtu akisikia jina langu atamani kuniona lakini pia yaani ukiniona unishangae kwa bashasha sana

Af niwe mkaka nae semwa sana na watu zile sifa za kuwa mkaka yule analinga sanaa mambo mengi mengi kila mtu awe natamanio la kuniona sijui nifanyeje
1.Never be a nice guy
2. Uwe na uwelewa wa mambo mengi kwa kusoma majalida na vitabu mbalimbali
3. Usiwe na tabia za uchawa
4. Usiwe mwongeaji sana ukiwa mbele za watu changia mambo ya msingi tu
5. Penda kula vizuri, kufanya mazoezi na kuvaa vizuri, muonekani mzuri unaongeza uwezo wa kujiamini
N.k
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom