Gily mshamba_hachekwi UbobohNatamani kuwa mkaka fulani hivi yaani mtu akisikia jina langu atamani kuniona lakini pia yaani ukiniona unishangae kwa bashasha sana
Af niwe mkaka nae semwa sana na watu zile sifa za kuwa mkaka yule analinga sanaa mambo mengi mengi kila mtu awe natamanio la kuniona sijui nifanyeje
Kwani mimi kuna mtu anatamani kuniona?
1.Never be a nice guyNatamani kuwa mkaka fulani hivi yaani mtu akisikia jina langu atamani kuniona lakini pia yaani ukiniona unishangae kwa bashasha sana
Af niwe mkaka nae semwa sana na watu zile sifa za kuwa mkaka yule analinga sanaa mambo mengi mengi kila mtu awe natamanio la kuniona sijui nifanyeje
Hakika..."kulinga" bila hela ni kazi "bule"analinga
Asante sana1.Never be a nice guy
2. Uwe na uwelewa wa mambo mengi kwa kusoma majalida na vitabu mbalimbali
3. Usiwe na tabia za uchawa
4. Usiwe mwongeaji sana ukiwa mbele za watu changia mambo ya msingi tu
5. Penda kula vizuri, kufanya mazoezi na kuvaa vizuri, muonekani mzuri unaongeza uwezo wa kujiamini
N.k