zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Hii ni nature mkuu ili sehemu flani pawe na maendeleo sana basi wenyeji lazima wapungue sana , maana wenyeji mara nyingi huwa hawawazi maendeleo kama wageniKwakweli naikumbuka Masasi kama mahala patulivu sana, kupafanya kuwa Mkoa sina pingamizi nalo kikubwa mipangilio ya kiutawala na huduma stahiki za mahitaji ya wananchi vizingatiwe hasa kuinua Elimu ,masoko na mitaji kwa miradi mbali mbali, isiwe kuuweka kuwa mkoa halafu wageni waje kukwapua fursa wenyeji wakabakia ktk hali duni.
Majimbo ya uchaguzi ni yaleyale yaliyopo sasa kwenye Halmashauri au wilaya husikakuna milima mingapi ,mabonde ,misitu. .mana lisu anasema serikali inazingatia sana hayo mambo kwenye kugawa majimbo badala ya idadi yawatu
mana ukiwa mkoa tayari utatakiwa uwe na majimbo ya uchaguzi
Toka miaka ya 2013 Serikali chini ya Dk Jakaya Kikwete ilitangaza kuunda mkoa mpya wa Kusini na kutaka Masasi ndio iwe kitovu. Ni kweli usiopingika Masasi inastahili.. hii miundombinu ya Barabara inayozidi kujengwa Masasi inazidi kufanya mji uvutie, uwe accessible na kuchagiza Maendeleo.
Mkoa wa Masasi unaweza kuwa na Wilaya hizi.
✓ Masasi (Hapa pataluwa na Halmashauri mbili yaan ya Mji na ya wilaya(Vijijini) kama ilivyo sasa.. Baadae Mji utapewa Manispaa
✓ Nanyumbu (Mangaka)
✓ Tunduru
✓ Nachingwea
Uko sawa mkuu, Newala inaingia vizuri Masasi.. Ile Tandahimba ndiko kuendelea kubaki Mtwara.Mbona sioni Newala hapo? Yaani ni 65km tuu kutoka hapo,
Kama Masasi itakua mkoa basi wilaya ni
1. Masasi
2. Newala
3. Nanyumbu
4. Nachingwea
Kuna maeneo mengi ya Halmashauri ya Mtama-Lindi yanaweza kuingia Mtwara.. kama kule fukwe za bahari Sudi n.kNewala ikija masasi Mtwara itabaki wapi sasa? Au wachukue Mpaka Mtama
Labda wachukue kwanzia mnazi mmoja mpaka RuangwaKuna maeneo mengi ya Halmashauri ya Mtama-Lindi yanaweza kuingia Mtwara.. kama kule fukwe za bahari Sudi n.k
Labda wachukue kwanzia mnazi mmoja mpaka Ruangwa
ili MPATE fursa ya kueneza UCHAWI nchi nzima!!Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa halmashauri na wakanihakikishia hilo halina muda mrefu, litafanikiwa. kwamba wilaya zake ziwe Nanyumbu, Masasi mjini(kama sikosei) na kadhalika.
Masasi ina kila sababu ya kupewa kuwa mkoa. Ninaamini hili.
Ukubwa wake Kijiografia na idadi ya Watu ikoje?Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa halmashauri na wakanihakikishia hilo halina muda mrefu, litafanikiwa. kwamba wilaya zake ziwe Nanyumbu, Masasi mjini(kama sikosei) na kadhalika.
Masasi ina kila sababu ya kupewa kuwa mkoa. Ninaamini hili.
Inatosha sanaUkubwa wake Kijiografia na idadi ya Watu ikoje?
Newala ikija masasi Mtwara itabaki wapi sasa? Au wachukue Mpaka Mtama
Naona kama padogoNewala vijijini, Mahuta, Tandahimba, mpaka Mnazi mmoja
Fanya utafiti kwanza.Inatosha sana
Sawa mkuuFanya utafiti kwanza.
Unajua hata Kijiografia Mkoa wa Mtwara ni mdogo sana