Shida iko kwenye kuanzisha mkoa kwa kumega maeneo ya mkoa mwingine..ingekuwa rahisi kama mkoa ungekuwa unaanzisha kwa kuunganisha maeneo ndani ya mkoa.Toka miaka ya 2013 Serikali chini ya Dk Jakaya Kikwete ilitangaza kuunda mkoa mpya wa Kusini na kutaka Masasi ndio iwe kitovu. Ni kweli usiopingika Masasi inastahili.. hii miundombinu ya Barabara inayozidi kujengwa Masasi inazidi kufanya mji uvutie, uwe accessible na kuchagiza Maendeleo.
Mkoa wa Masasi unaweza kuwa na Wilaya hizi.
✓ Masasi (Hapa pataluwa na Halmashauri mbili yaan ya Mji na ya wilaya(Vijijini) kama ilivyo sasa.. Baadae Mji utapewa Manispaa
✓ Nanyumbu (Mangaka)
✓ Tunduru
✓ Nachingwea
Kwani hayo maeneo mengine nayo si yana shughuli zao za kiuchumi sio lazima mkoa kutegemea wilaya 2 tu,Shida iko kwenye kuanzisha mkoa kwa kumega maeneo ya mkoa mwingine..ingekuwa rahisi kama mkoa ungekuwa unaanzisha kwa kuunganisha maeneo ndani ya mkoa.
Tunduru inategemewa na Ruvuma kwa uzalishaji na uchumi wa Korosho na Nachingwea pia kwa mkoa wa Lindi.
Hoja yako sio mpya..ilishawahi kuchakatwa na ikishindikana kwa hoja hizo nilizozisema.
Hivyo.
Unisome kwa utulivu utaelewa nilichomaanisha.Kwani hayo maeneo mengine nayo si yana shughuli zao za kiuchumi sio lazima mkoa kutegemea wilaya 2 tu,
✓Lindi watabakiw na Lindi Manispaa, MTAMA, Kilwa Ruangwa na Liwale.
✓Mtwara watabakiwa na Mtwara Manispaa, Nanyamba, Newala Vijijini, Mtwara Vijijini Tandahimba, pia watachukua maeneo machache ya Halmashauri ya Mtama
✓Masasi, watakuwa na Masasi yenyewe, Nachingwea, Nanyumbu na Newala mji
wewe ni mpumbavu nini?? uchawi maybe upo kwenu. Wamakua na uchawi ni wapi na wapi?? Wamakuwa ni wasomi na wapenda elimu sana.ili MPATE fursa ya kueneza UCHAWI nchi nzima!!
hilo halituhusu mkuu... lengo ni masasi iwe mkoa basi. Tunduru itajijua. hahahaNi kweli ila sasa kwa Tunduru ikirudi masasi basi mtainyima songea mapato makubwa ya madini
miye pia naiona hivyo.. ni tulivu na kutoipa hadhi ya kua mkoa ni kutoitendea hakiKwakweli naikumbuka Masasi kama mahala patulivu sana, kupafanya kuwa Mkoa sina pingamizi nalo kikubwa mipangilio ya kiutawala na huduma stahiki za mahitaji ya wananchi vizingatiwe hasa kuinua Elimu ,masoko na mitaji kwa miradi mbali mbali, isiwe kuuweka kuwa mkoa halafu wageni waje kukwapua fursa wenyeji wakabakia ktk hali duni.
sifahamu kwa kuwa sikumbuki kama niliwahi hesabu.. ila milima ipo ya kutosha. ni sehemu ya vilima vilima kama ilivyo Israelkuna milima mingapi ,mabonde ,misitu. .mana lisu anasema serikali inazingatia sana hayo mambo kwenye kugawa majimbo badala ya idadi yawatu
mana ukiwa mkoa tayari utatakiwa uwe na majimbo ya uchaguzi
bado mazungumzo yanaendeleaNewala ikija masasi Mtwara itabaki wapi sasa? Au wachukue Mpaka Mtama
Nilienda masasai kikazi nikakodi.kiukweki sikulala!!!! mauzauza kibao,acha mihemko wewe mwenyewe ndani roho yako ukweli unaujua,,,,lakini kwa sababu za kinafiki unapinga tu!!wewe ni mpumbavu nini?? uchawi maybe upo kwenu. Wamakua na uchawi ni wapi na wapi?? Wamakuwa ni wasomi na wapenda elimu sana.
Kwani hayo maeneo mengine nayo si yana shughuli zao za kiuchumi sio lazima mkoa kutegemea wilaya 2 tu,
✓Lindi watabakiw na Lindi Manispaa, MTAMA, Kilwa Ruangwa na Liwale.
✓Mtwara watabakiwa na Mtwara Manispaa, Nanyamba, Newala Vijijini, Mtwara Vijijini Tandahimba, pia watachukua maeneo machache ya Halmashauri ya Mtama
✓Masasi, watakuwa na Masasi yenyewe, Nachingwea, Nanyumbu na Newala mji
wewe ni mpumbavu nini?? uchawi maybe upo kwenu. Wamakua na uchawi ni wapi na wapi?? Wamakuwa ni wasomi na wapenda elimu sana.
Hivi huoni kama nimetaja Halmashauri tu hapo🤔, katika issue kama hizo za kugawawa maeneo kwa sasa sana unaangalia mgawanyo Halmashauri katika mkoa au wilaya husika maana unaweza kukuta wilaya Moja ina Halmashauri 3, mfano hiyo Wilaya ya Mtwara.Kuna wilaya inaitwa nanyamba shehe au unaota?, katika orodha ya wilaya za mtwara hakuna nanyamba, hyo ni hqlmashauri ru.
sasa ulikaa masasi yote na kwa watu wote mpaka ukaona mambo hayo? hiyo ni hasty generalization. kila sehemu kuna aina ya watu na vitu hivyo. tuache ujumuishaji mbaya. sad ni kuwa wewe ni msomi mzima kabisa unafanya hasty generalizationNilienda masasai kikazi nikakodi.kiukweki sikulala!!!! mauzauza kibao,acha mihemko wewe mwenyewe ndani roho yako ukweli unaujua,,,,lakini kwa sababu za kinafiki unapinga tu!!
wapenda elimu dunia. ndiyo maana wamakuwa ni kabila dogo ila wasomi ni wengi. pia wengi ni wakristo. kumbuka: makabila yapo mengi kule. sasa hutaki tuwe na elimu au? una wivu nasi?Uongo, wapenda elimu gani?
Na sisi Rufiji tunataka mkoa wetu makao makuu Ikwiriri.Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa halmashauri na wakanihakikishia hilo halina muda mrefu, litafanikiwa. kwamba wilaya zake ziwe Nanyumbu, Masasi mjini(kama sikosei) na kadhalika.
Masasi ina kila sababu ya kupewa kuwa mkoa. Ninaamini hili.
Lindi itabaki na nini sasa kama kilwa inataka kwemda rufiji,nachingwea iende masasi?Toka miaka ya 2013 Serikali chini ya Dk Jakaya Kikwete ilitangaza kuunda mkoa mpya wa Kusini na kutaka Masasi ndio iwe kitovu. Ni kweli usiopingika Masasi inastahili.. hii miundombinu ya Barabara inayozidi kujengwa Masasi inazidi kufanya mji uvutie, uwe accessible na kuchagiza Maendeleo.
Mkoa wa Masasi unaweza kuwa na Wilaya hizi.
✓ Masasi (Hapa pataluwa na Halmashauri mbili yaan ya Mji na ya wilaya(Vijijini) kama ilivyo sasa.. Baadae Mji utapewa Manispaa
✓ Nanyumbu (Mangaka)
✓ Tunduru
✓ Nachingwea
ye rufiji sijawahi sikia, ila ya masasi kuwa mkoa ni agenda ya muda mrefu ambayo soon itatimizwaNa sisi Rufiji tunataka mkoa wetu makao makuu Ikwiriri.
Kwani Kuna mtu kadai Masasi iwe Manispaa..??!!! We jamaa mbona hauelewe mada,Lindi itabaki na nini sasa kama kilwa inataka kwemda rufiji,nachingwea iende masasi?
Masasi bado sana kupata hadhi ya manispaa.
Naamini inaenda kutumia hiiye rufiji sijawahi sikia, ila ya masasi kuwa mkoa ni agenda ya muda mrefu ambayo soon itatimizwa