Ndoto yangu ni kuiona wilaya ya Masasi inakuwa mkoa kamili

Ndoto za kipuuzi
 
sasa ulikaa masasi yote na kwa watu wote mpaka ukaona mambo hayo? hiyo ni hasty generalization. kila sehemu kuna aina ya watu na vitu hivyo. tuache ujumuishaji mbaya. sad ni kuwa wewe ni msomi mzima kabisa unafanya hasty generalization
uchwi hauna mpaka!!
 
Wa tz sidhani kama mnaelewa role ya mipango miji ya kisasa,
Nyie mkisha zaliana kwa wingi basi , pawe mji .

Maeneo mengi mnaoishi ni vijiji vya ujamaa , vilivyo feli.

Pesa za mkopo kutoka WB, IMF ndio zinazotumika kuendesha vijiji vya ujamaa vilivyo feli. Either kwa kujua au la

Na badala ya hiyo mikopo ingetumika kwenye shughuli za uzalishaji mali, mfano kilimo cha mchikichi kwa ajili ya mafuta ya kupikia, kilimo cha ngano, uvuvi deep sea , yani hizi pesa za mikopo zitumike kwa uzalishaji wa kibiashara ili kupunguza matumizi ya fedha za kigeni kwenye normal domestic products.

Si mnasema WB IMF ni watawakopesha TU coz ni wafanyabiashara, ss mbona nyinyi hamzitumii hizi pesa kibiashara,
Asias, wananufaika vizuri coz wanazitumia kwenye uzalishaji mali,

Serikali isikope pesa kujenga daraja, Barabara, etc , kama hawana uwezo , private sectors waruhusiwe .

Majuzi nimemsikia shaka akisema walisema Awamu hii hawataweza maliza miradi iliyoachwa na jiwe, ukweli ni kwamba serikali inaingia hasara juu ya hasara na ndio maana tunawekewa tozo mpka kwenye sukari .

Hii miradi ilitakiwa kufanya na private sectors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…