Mwakinyo makini
Member
- Dec 20, 2023
- 23
- 26
Wanakuja.Habari wadau wa JF,natumai mu wazima
mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege
ila sina idea sana kuhusu io kozi kwa hapa Tanzania ,nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu,
hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu io kozi na gharama zake na je ? ni degree and diploma kwa hapa bongo,muda wa kusomea na upande wa ajira zake umekaaje?
naombeni msaada wana JF kwa anejua naomba asiupite huu UZI tafadhali,utakua umenisaidia sana.
Wanakuja.
Na kwa wastani Huwa ukiajiriwa unalipwa si chini ya shingapi?Bachelor degree in Aircraft Maintenance Engineering inatolewa na National Institute of Transport kwa Tanzania Bara na Zanzibar kuna Karume Institute of Technology
Kuhusu ada ni mkasi kweli hadi 6m kwa mwaka
Kila la'kheri kwenye kutimiza ndoto yako
Mkuu acha utoto soma kwanza serikalini kote watu hawazingatii mishahara ni mwendo wa posho so hata kama mshahara ukiwa millions 2 jua posho yaweza kuwa mara tano yake kutegemea na safari,bonus,stahiki ,n.kNa kwa wastani Huwa ukiajiriwa unalipwa si chini ya shingapi?
Mshahara Sina uhakika sana lakini kazi ni ATCL au mashirika binafsi ya ndege Kwaio mshahara utakuwa mkubwaNa kwa wastani Huwa ukiajiriwa unalipwa si chini ya shingapi?
Sawa nmeuliza maan nlipata hofu Kuna jamaa alinambia wanalipwa lakin 4 had 6Mkuu acha utoto soma kwanza serikalini kote watu hawazingatii mishahara ni mwendo wa posho so hata kama mshahara ukiwa millions 2 jua posho yaweza kuwa mara tano yake kutegemea na safari,bonus,stahiki ,n.k