Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Lile la mwekezaji ambaye angehodhi ardhi yetu kwa masharti ya kiwendawazimu ndio tulilikataa chini ya jpm. Kama tunajenga wenyewe itakua ndio mradi mkubwa wa mama wa kwanza bila shaka. Tutatumia hela za ndani na nje za kukopa bila shaka. Kuna wale wanajidai wachumi eti miradi mikubwa ya jpm ni white elepants. Sasa waseme tena ujenzi wa bagamoyo kutumia TPA itakua white elephant.
Kwenye miradi mikubwa mama awe makini kwani gharama inaweza kuwekwa kubwa kwa ufisadi watu wakiweka cha juu
 
Kwa hiyo Ina maana Jiwe alikuwa mtu wa fix siyo kwamba hata CHIZI hawezi kukubali mradi kwamba masharti ya mwekezaji ni ya hovyo ajabu.
Elewa, magu alikataa hiyo bandari kutokana na masharti yaliyowekwa na waliotaka kujenga. Serikali mwaka Jana ikafufua majadiliano, lakini yalikwama kutokana na kutokukubaliana. Ndio Sasa serikali imeamua inajenga yenyewe
 
[/QUOTE]
Sitarajii Serikali kutumia mapesa ya Bajeti ya ndani,kama hawana mbia Bora wakope..

Sasa wewe unadhani Sgr na Bandari ipi ni white elephant? Sgr itaendelea kuwa tembo mweupe miaka zaidi ya 50 ijayo.

Huwezi Jenga Sgr kusiko na mzigo,ingekuwa ya maana kama ingeenda SADC sio huko kwenye vinchi maskini
 
Tangu lini umeanza kuwa na akili?
 
Elewa, magu alikataa hiyo bandari kutokana na masharti yaliyowekwa na waliotaka kujenga. Serikali mwaka Jana ikafufua majadiliano, lakini yalikwama kutokana na kutokukubaliana. Ndio Sasa serikali imeamua inajenga yenyewe
Nilikuwa sijaelewa, kwahiyo;
  • JPM aliona mkataba wa kwanza ni wa kiuendawazimu, akaukataa.
  • Wakaja wao, wakasema JPM alikuwa juha kuukataa mkataba ule, wakaanzisha majadiliano ya maridhiano, ikashindikana, na WAO wakaukataa mkataba huo sio?

Kwahiyo, kwasasa wanaenda kujenga wenyewe? Inamaana watasema kwa hela zetu sio? Hii kauli ilikataliwa enzi za JPM.

Mwisho ni kuwa, hii awamu haikamilishi miradi, inaanzisha mingine. BRT ya kwenda Mbagala hakuna kinachoendelea tena, wamefumua barabara ya kwenda airport. Nayo wataiacha, watenda kuchimba port Bagamoyo n.k
 
Tangu lini umeanza kuwa na akili?
[/QUOTE]
Tangu nilipoanza kufukua mtaro wako
 
Acha ujinga wewe,BRT ya mbagala hakuna kinachoendelea?
 
Sitakufa Bali nitaishi Ili niuone Wema wa Mungu ktk Nchi niliopewa ktk Nchi ya waliohai.

Usidanganywe kitoto, Uliona wapi PLOT moja ikauzwa Kwa wawekezaji wawili tofauti na ujenzi ukaenda bila chokochoko?
 
..chonde chinde Serikali itafute mbia wa kujenga nae sio kama pale awali kwamba Kila kitu kifanywe na pesa za ndani, ni hatari Kwa Uchumi Wetu tusije kurudi kule kule Kwa Jiwenomics.
🤣
Wawekezaji watakuwepo bhana, hakuna jiwenomics😁

...director general revealed yesterday that they will not have to wait further for investors to start the construction of the port..
“Investors will join us on the way,” he said..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…