Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ni bora tujenge wenyewe. Kama tuliweza SGR, hata hii tunaweza.siungi mkono kabisa kuwapa wachina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu Wadau..
Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA..
Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari kubwa kabisa Kwa Ajili ya kukuza Uchumi.
Ushauri wangu napenda,chonde chinde Serikali itafute mbia wa kujenga nae sio kama pale awali kwamba Kila kitu kifanywe na pesa za ndani, ni hatari Kwa Uchumi Wetu tusije kurudi kule kule Kwa Jiwenomics.
Hongera sana SSH na Serikali Kwa Ujumla.
Elewa, magu alikataa hiyo bandari kutokana na masharti yaliyowekwa na waliotaka kujenga. Serikali mwaka Jana ikafufua majadiliano, lakini yalikwama kutokana na kutokukubaliana. Ndio Sasa serikali imeamua inajenga yenyeweKwa hiyo Ina maana Jiwe alikuwa mtu wa fix siyo kwamba hata CHIZI hawezi kukubali mradi kwamba masharti ya mwekezaji ni ya hovyo ajabu.
Lile la mwekezaji ambaye angehodhi ardhi yetu kwa masharti ya kiwendawazimu ndio tulilikataa chini ya jpm. Kama tunajenga wenyewe itakua ndio mradi mkubwa wa mama wa kwanza bila shaka. Tutatumia hela za ndani na nje za kukopa bila shaka.kuna wale wanajidai wachumi eti miradi mikubwa ya jpm ni white elepants. Sasa waseme tena ujunzi wa bagamoyo kutumia TPA itakua white elephant.
Kwenye miradi mikubwa mama awe makini kwani gharama inaweza kuwekwa kubwa kwa ufisadi watu wakiweka vyao vya juu.The Sunk Cost Fallacy 2, post: 45180628, member: 689752"]
Habari ndugu Wadau..
Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA..
Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari kubwa kabisa Kwa Ajili ya kukuza Uchumi.
Ushauri wangu napenda,chonde chinde Serikali itafute mbia wa kujenga nae sio kama pale awali kwamba Kila kitu kifanywe na pesa za ndani, ni hatari Kwa Uchumi Wetu tusije kurudi kule kule Kwa Jiwenomics.
Hongera sana SSH na Serikali Kwa Ujumla.
Magu alikataa sababu za wivu na fitina tuuElewa, magu alikataa hiyo bandari kutokana na masharti yaliyowekwa na waliotaka kujenga. Serikali mwaka Jana ikafufua majadiliano, lakini yalikwama kutokana na kutokukubaliana. Ndio Sasa serikali imeamua inajenga yenyewe
Hawa jamaa wana balaa kwa kweli...Tuwakatae Wachina
Nilikuwa sijaelewa, kwahiyo;Elewa, magu alikataa hiyo bandari kutokana na masharti yaliyowekwa na waliotaka kujenga. Serikali mwaka Jana ikafufua majadiliano, lakini yalikwama kutokana na kutokukubaliana. Ndio Sasa serikali imeamua inajenga yenyewe
Tangu lini umeanza kuwa na akili?Sitarajii Serikali kutumia mapesa ya Bajeti ya ndani,kama hawana mbia Bora wakope..
Sasa wewe unadhani Sgr na Bandari ipi ni white elephant? Sgr itaendelea kuwa tembo mweupe miaka zaidi ya 50 ijayo.
Huwezi Jenga Sgr kusiko na mzigo,ingekuwa ya maana kama ingeenda SADC sio huko kwenye vinchi maskini
Acha ujinga wewe,BRT ya mbagala hakuna kinachoendelea?Nilikuwa sijaelewa, kwahiyo;
- JPM aliona mkataba wa kwanza ni wa kiuendawazimu, akaukataa.
- Wakaja wao, wakasema JPM alikuwa juha kuukataa mkataba ule, wakaanzisha majadiliano ya maridhiano, ikashindikana, na WAO wakaukataa mkataba huo sio?
Kwahiyo, kwasasa wanaenda kujenga wenyewe? Inamaana watasema kwa hela zetu sio? Hii kauli ilikataliwa enzi za JPM.
Mwisho ni kuwa, hii awamu haikamilishi miradi, inaanzisha mingine. BRT ya kwenda Mbagala hakuna kinachoendelea tena, wamefumua barabara ya kwenda airport. Nayo wataiacha, watenda kuchimba port Bagamoyo n.k
Lakini siyo wachinaTuombe waarabu wawekeze hiyo bandari nikiangalia naona kuna mambo tutafeli tukitumia fedha za ndani our revenue collections barely suffices our Recurrent expenditure
Huo wako ni ujinga, Sina la kukusaidia zaidi ya kukumbusha tafuta pesaMagu alikataa sababu za wivu na fitina tuu
Tangu nilipoanza kufukua mtaro wakoTangu lini umeanza kuwa na akili?
Kabisa,hii tabia ya Kila kitu kutumia pesa za ndani ni mbaya sana Kwa uchumi..
Ndio inasababisha financial inclusion iwe ngumu na kuleta umaskini
Mbona JK alisha saini mwanzo?!Kwa hiyo amekosekana wa kuusaini ule mkataba wa wachina yule aliyesemwa na JPM kuwa labduda awe ni mpumbavu sana ndio asaini!
Sitakufa Bali nitaishi Ili niuone Wema wa Mungu ktk Nchi niliopewa ktk Nchi ya waliohai.kufa
Kwa hiyo we shoga?Tangu nilipoanza kufukua mtaro wako
🤣..chonde chinde Serikali itafute mbia wa kujenga nae sio kama pale awali kwamba Kila kitu kifanywe na pesa za ndani, ni hatari Kwa Uchumi Wetu tusije kurudi kule kule Kwa Jiwenomics.
Kama jk alisha saini mwanzo ndege zetu zinge kamatwa kama wale wa mashamba ya sukari aliyopewa BakheressaMbona JK alisha saini mwanzo?!