Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Baada ya kusikia kuwa sukuma gang wanataka mkoa wahaya wakasanuka
Aliekwambia chato ni ya wasukuma nan?.Humu JF kuna watu mnaongea vitu utadhan vichwa hamna. Kwa faida tu kanda ya ziwa sio ya wasukuma tu, kuna wakurya,wahaya na zaid ya makabila 20+ madogo madogo.

Maguful hakushindwa kuforce chato iwe mkoa kipind kile, anamamlaka alikuanayo why hakuufany kuwa mkoa.Mbona simiyu ni mkoa toka kipindi cha JK yet mpaka leo 2023 simiyu still bado hakufai kuwa mkoa kwa izo hoja zenu.

Hatukatazwi kukosoa ila ukosoaji uliojaa chuki ni ukosaji weledi. Mtu anasema burigi national park ni kosa kuwa pale, serious [emoji15].Airport ya chato sio international ni normal, mtu na hili anakataa eti why chato kuwe na airport [emoji23][emoji23].

Mwingine anazungumzia hospital ya kanda why iko pale, kweli [emoji848]
 
Kwenye huu uzi tunaongelea sukuma gang ( team ).

Wacha kujiondoa akili yako.
 
Airport,Hospital hata yale mataa ya barabarani hayakustahili kuwepo pale maana chato haikukidhi vigezo.
 
Kwenye huu uzi tunaongelea sukuma gang ( team ).

Wacha kujiondoa akili yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sukuma gang kweny uzi wa NDOTO YA CHATO KUWA MKOA IMEYEYUKA

Hiv mnatumia vichwa gan?[emoji23][emoji23][emoji23]

How SUKUMA GANG kweny Chato kushindwa kuwa mkoa?
 
We sema CCM wamekataa msisingizie wananchi kana kwamba mnawapaga nafasi kihivyo kwenye mambo yenu.
 
Hakuna vigezo alikuwa anavuta mda
 
Chato ni kijiji tu na mtabakia hivyo hivyo dadeeekiii na mtalia sana
Ndo maana nasema unatumia kichwa gan kufikir, kama cha chini bas nsikushangae?

Em jibu hoja acha blablaa. Sikai chato ila napajua chato na kwa kuwa umeleta madai ya kuwa chato ni kijijin bas ni haki yako kuthibitisha madai yako. Nasubir uthibitisho wa chato ni kijijin?
 
Kwishaaaa habari za chato
 
Gbadolite ya Chato Mr Sugu aliielezea vizuri sana Bungeni na ipo kwenye Hansard na abarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…