Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

Wazo la Wilaya ya Chato kuwa Mkoa liliibuka tangu enzi za utawala wa awamu ya tano ya Hayati Rais John Magufuli, hata hivyo limekuwa likijadiliwa katika ngazi mbalimbali kabla ya leo kukataliwa rasmi.
Tena wazo hili life na kuzikwa kabisa
 
hay
Yule jamaa angeendelea kuwepo NHC wangejenga magorofa mengi Chato

Wizara ya Utalii ingejenga hotel nyingi.

Ndege zingelazimishwa kutua kule
o yote yalisha lazimishwa na ile ajali ya bukoba ndio kabisa wangetengeneza ripoti kuwa kule hakufai kuwa na uwanja,
 
Kwani ni nani huyo , mana nishasahau yaliyopita , Sasa mambo yanasonga,
 
Daah! Yaani nafuhije mie!. Maana yule dikteta alikudia kukigeuza Kijiji cha Chato kuwa Jiji baada ya miaka 5
Sema watanzania wengi sana kwa sasa wana furaha sana ukiondoa changamoto za hali ya maisha.
 
B
Mie sijazunguzia chato,ninazunguza kumuona Magufuli Shetani kisa anataka kugawa Mkoa utafikiri ndiye Rais wa kwanza Tanganyika kufanya hivyo,kama mnasema chato ina ineo dogo mbona amlalamiki mikoa ya Zanzibar?
Hivi wewe bado hujaona tatizo la Magufuli kwenye hilo la kutaka kuundwa mkoa wa Chato?

Wadau hapa JF wanasema Chato haina sifa zozote za kuwa mkoa, Magufuli alipanga kuifanya Chato kuwa mkoa kwa sababu Chato ni nyumbani kwake. Na huo ndio upumbavu wa Magufuli unaopingwa.
 

Ndio wakati wa kwenda kununua viwanja. Kuna siku watu wataenda kutalii kule. Ila sio haya mambo yao ya kulazimisha uwe mkoa wakati hauna sifa hata moja.
kama vipi tuanze na Butiama
 

1. Waimarishe halmashauri na wilaya ili zitoe huduma zote wananchi wasisumbuke kufuata huduma hizo makao makuu ya mkoa.

2. Waongeze matumizi ya TEHAMA ili kuwezesha huduma mbalimbali kupatikana kwa haraka na kwa urahisi.
 
unalazimisha member wa SUKUMA GANG atakuelewa?
makao makuu ya VETA walikuwa wanaanz kujenga chato, utalii kanda ziwa ujengwe chato, TRA na CRDB vijengwe chato, uwanja ndege na kila kitu, ila jamani tulipitia mateso sana.
 
Muhusika hayupo ingeshakuwa kitambo
na hiyo mikoa jirani ingemgwa tena vijiji anavyotaka yeye , ni kama upuuzi uliofanyika kumega mwanza , shinyanga kutengeneza simiyu, yaani sijui kwanini hatupendi muungano tunataka utengano?
 
No Comment.

Hakuna jipya kwenye mada wala kutoka kwa Wachangiaji.

Uhasama tu.

..After Comment tsk tsk
.
 
Kwani huduma zipi hizo za kufuata mkoani kwani kama ni matibabu anaweza kwenda chato hivihivi na akatibiwa mie niko kahama ninadra sana kwenda shinyanga kufuata huduma huduma zoote zinapatikana wilayani kama matibabu huwa tunapewa rufaa moja kwa moja bugando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…