princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Shikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5 madarakani,,Jf ili nisaidia sana na inaendelea kunisaidia katika mambo ya kitaaluma hadi kesho hususani jukwaa la elimu na Lugha,,Humu kuna watu wana upeo mkubwa sana,pia Jf ni sehemu ya Elimu na ku-refresh mind pia cause never bored at all,OMBI langu naomba niambiwe maana ya hivi vitu:
Moderator,Avatar,PM,hasa iyo PM maana isije ikawa ni ufupisho wa jina langu Prince Mikazo,,,pia nna shida na hawa watu wanisaidie vitu fulani:
GuDume Gwenu Gwambegu,Mahondow,Miss chagga na Natafuta,Zero IQ,Never see Me,General Galadudu,Mama sabrina,Ushmen,Pascal Mayalla,Smart911,Numbisa.Joka jeusi....Wasalaaam