Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

Ndugai Mtu mbaya sana atueleze ukweli akina Halima Mdee alivyo waingiza katika bunge lake kupitia kuwaapishia gereji ilikuwa kwa amri ya nani? Maana katiba haiwatambui vipi anakurupukia bandari ya Bwaga Moyo?

Huyu Ndugai ni wa kuburuzwa Mahakamani kwa Pilato
 
Ndugai ni mtu asieaminika wala simsemi zaidi. ni Huyu aliesema Magufuli aongezewe muda atake asitake..Ni huyu huyu aliesema amekutana na watu kwa bahati mbaya huko China....Hivi unawezaje kukutana na mtu kwa bahati mbaya mkafanyiana Presentation???

Wewe Mzee huaminiki...Ingekua nchi nyingine wangekulazimisha ujiuzulu...Shukuru Mungu hapa mnacheza Makida makida hamna msimamo
 
Rais wa CCM, Bunge la CCM, Jeshi la CCM, Nchi ya CCM, Bandari ya Dar ya CCM na Bandari mpya ni CCM. Sisi wananchi ni kama mchepuko tu! Mwanaume anakujia siku anakutaka na huna ruhusa ya kuhoji uko wapi, njoo nina hamu, nk.
Mifano yenu ya kimalaya muwe mnaweka huko facebook
 
Hapa ndipo tulipofikishwa na CCM. Kila aliyekuwa akijaribu kuhoji jambo lolote lililotoka kwa mtu wa CCM alionekana siyo Mzalendo kwa Nchi yake bali ni Msaliti anaetumiwa na Mabeberu kuihujumu Nchi yake.

Tulipiga kelele sana humu kuhusu utendaji wa Spika Ndugai na baadhi ya Watendaji wengine wa Serikali lkn tuliishia kukejeliwa na kuitwa majina ya kila namna. Wale wale waliokuwa vinara wa kutupiga vijembe humu ndio hao hao waliogeuka na kuanza kuwashambulia wale waliokuwa wakiwasifia kipindi kile hata pale wanapokiuka kanuni na taratibu za kiutendaji.

Je ni nani mnafiki kati yao na kina Ndugai??
Ndugai alimshambulia CAG Assad na kuwafungia Lema na Mdee kwa kusema bunge ni dhaifu leo anakiri udhaifu bila kutamka wazi. Awatake radhi.
 
Hapa ndipo tulipofikishwa na CCM. Kila aliyekuwa akijaribu kuhoji jambo lolote lililotoka kwa mtu wa CCM alionekana siyo Mzalendo kwa Nchi yake bali ni Msaliti anaetumiwa na Mabeberu kuihujumu Nchi yake.

Tulipiga kelele sana humu kuhusu utendaji wa Spika Ndugai na baadhi ya Watendaji wengine wa Serikali lkn tuliishia kukejeliwa na kuitwa majina ya kila namna. Wale wale waliokuwa vinara wa kutupiga vijembe humu ndio hao hao waliogeuka na kuanza kuwashambulia wale waliokuwa wakiwasifia kipindi kile hata pale wanapokiuka kanuni na taratibu za kiutendaji.

Je ni nani mnafiki kati yao na kina Ndugai??
Mamlaka ya bunge kushauri na kuhoji yapo kikatiba zaidi, kwa hiyo ilikuwa jambo jema wakahoji , na kuisimamia serikali isipotoshwe.
 
Yaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.
Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.
Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.

Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.

Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.

Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki

Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.

Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.

Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa

Rip jpm
Usikute na ww ni mwanaume halafu unamuita mwanaume nwenzio mwanaume wa shoka
 
Tuna spika wa bunge wa ajabu Sana, yaani wanasubiri jpm kafariki, ndipo wanaanza kumponda.Kiujumla mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni.Ndugai anazingua...
 
*******'s statement can be summarised by three simple Swahili words."Bunge ni dhaifu"
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Hata kama ingekuwa wewe ndiyo Ndugai bado ungefuata fikra za Rais...

Rais ana nguvu sana!!!!

Dawa ni kubadili Katiba kwanza.....

Kumpunguzia Madaraka Rais itatusaidia kupata Kiongozi msikivu kwa mujibu wa Katiba....
 
Je kwa hali hii Bunge litaaminika kweli kumshauri Rais aliyepo na serikali yake au kuisimamia serikali ipasavyo? Nisaidieni.
 
Hata kama ingekuwa wewe ndiyo Ndugai bado ungefuata fikra za Rais...

Rais ana nguvu sana!!!!

Dawa ni kubadili Katiba kwanza.....

Kumpunguzia Madaraka Rais itatusaidia kupata Kiongozi msikivu kwa mujibu wa Katiba....
Basi km ndivyo hivyo Rais alishauriwa vibaya. Bunge liongoze kudai katiba mpya. Litaeleweka zaidi kaika kuleta mabadiliko ya mifumo.
 
Kumbuka bunge ni la kijani rais alikua wa kijani mbabe nani angeweza kumpinga? nani angeweza kumshauri? Aliminya uhuru wa kujieleza nani angeweza kuandika? Wengine wanashukuru Mungu ameliona hili ndio maana akampa uongozi mama samia

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
****** ndo alikuwa kiungo mchezeshaji wa Tapeli shujaa wa Wezi mwendezake.
Lile Tapeli mfu lilikuwa likimuagiza wew wale wapinzani wanao kosoa wafukuze bungeni kwa kuwa mle wakiongea wana kinga waje kuongea huku nje ili niwashugulikie.
Pimbi ****** Hawezi kujitenga na uharo wa Tapeli meko.
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Mzee MNAFIKI SANA huyo
 
Nilimsikia na kumuona kwa macho yangu Spika akitoa ushauri juu ya bandari ya Bagamoyo pale bungeni wakati Magufuli yupo. Na nikaja kusikia na kuona majibu ya Magufuli mwenyewe. So ushauri alitoa. Swala iwe je ulikuwa mzuri au mbaya.

Mwendazake alikuwa anajua kila kitu yeye ni Mr I know it all!
 
Tuweke rekodi sahihi
1. Ni lini hasa mkuu wa nchi alianza kupotoshwa?
2. Ni wakina nani walimpotosha mkuu wa nchi?
3. Ni lini hasa bunge liliacha kazi yake ya kuisimamia serikali na kutoa mapendekezo yake?
4. Je Supika anafikiria kuwa tunamuelewa kwa hii fantastic turn around yake hasa kwa yeye kushindwa kuishauri serikali kupitia kiti chake?
5. Ni lini katiba itarejea kutoka likizo ? hapa ni kuanzia kwenye kile kipengele cha The consolidated Fund na mengineyo?

Hebu tuanzie na haya hapa.
 
Back
Top Bottom