babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Mifano yenu ya kimalaya muwe mnaweka huko facebookRais wa CCM, Bunge la CCM, Jeshi la CCM, Nchi ya CCM, Bandari ya Dar ya CCM na Bandari mpya ni CCM. Sisi wananchi ni kama mchepuko tu! Mwanaume anakujia siku anakutaka na huna ruhusa ya kuhoji uko wapi, njoo nina hamu, nk.
Ndugai alimshambulia CAG Assad na kuwafungia Lema na Mdee kwa kusema bunge ni dhaifu leo anakiri udhaifu bila kutamka wazi. Awatake radhi.Hapa ndipo tulipofikishwa na CCM. Kila aliyekuwa akijaribu kuhoji jambo lolote lililotoka kwa mtu wa CCM alionekana siyo Mzalendo kwa Nchi yake bali ni Msaliti anaetumiwa na Mabeberu kuihujumu Nchi yake.
Tulipiga kelele sana humu kuhusu utendaji wa Spika Ndugai na baadhi ya Watendaji wengine wa Serikali lkn tuliishia kukejeliwa na kuitwa majina ya kila namna. Wale wale waliokuwa vinara wa kutupiga vijembe humu ndio hao hao waliogeuka na kuanza kuwashambulia wale waliokuwa wakiwasifia kipindi kile hata pale wanapokiuka kanuni na taratibu za kiutendaji.
Je ni nani mnafiki kati yao na kina Ndugai??
Mamlaka ya bunge kushauri na kuhoji yapo kikatiba zaidi, kwa hiyo ilikuwa jambo jema wakahoji , na kuisimamia serikali isipotoshwe.Hapa ndipo tulipofikishwa na CCM. Kila aliyekuwa akijaribu kuhoji jambo lolote lililotoka kwa mtu wa CCM alionekana siyo Mzalendo kwa Nchi yake bali ni Msaliti anaetumiwa na Mabeberu kuihujumu Nchi yake.
Tulipiga kelele sana humu kuhusu utendaji wa Spika Ndugai na baadhi ya Watendaji wengine wa Serikali lkn tuliishia kukejeliwa na kuitwa majina ya kila namna. Wale wale waliokuwa vinara wa kutupiga vijembe humu ndio hao hao waliogeuka na kuanza kuwashambulia wale waliokuwa wakiwasifia kipindi kile hata pale wanapokiuka kanuni na taratibu za kiutendaji.
Je ni nani mnafiki kati yao na kina Ndugai??
Usikute na ww ni mwanaume halafu unamuita mwanaume nwenzio mwanaume wa shokaYaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.
Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.
Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.
Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.
Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.
Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki
Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.
Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.
Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa
Rip jpm
Ila ukweli ni Huu japo mchungu WATANZANIA NI WAJINGA.
Hata kama ingekuwa wewe ndiyo Ndugai bado ungefuata fikra za Rais...Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.
Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania
Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?
Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Je kwa hali hii Bunge litaaminika kweli kumshauri Rais aliyepo na serikali yake au kuisimamia serikali ipasavyo? Nisaidieni.Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.
Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania
Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?
Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Basi km ndivyo hivyo Rais alishauriwa vibaya. Bunge liongoze kudai katiba mpya. Litaeleweka zaidi kaika kuleta mabadiliko ya mifumo.Hata kama ingekuwa wewe ndiyo Ndugai bado ungefuata fikra za Rais...
Rais ana nguvu sana!!!!
Dawa ni kubadili Katiba kwanza.....
Kumpunguzia Madaraka Rais itatusaidia kupata Kiongozi msikivu kwa mujibu wa Katiba....
Mzee MNAFIKI SANA huyoTunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.
Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania
Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?
Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
RIP MAGUFURI WEWE NI SHUJAA.Ilikuwa hiiView attachment 1747210