Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana harafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingeleza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Harafu❌
Halafu✅
Waingeleza❌
Waingereza✅
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
 
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Same applies Kwa huyu,kwani aliepita SI alikuwa anaongopa kuwa alikuwa anajenga Kwa pesa za ndani na hachukui mikopo,baada ya kung'ata shuka na tukajua ukweli umeonaje??

Usiamini kila unachoambiwa.
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
shaderoom_tz-20240604-0001.jpg
 
Back
Top Bottom