Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
KAZI IENDELEE ..........................MAISHA BORA KWA KILA MDANGANYIKA MUTAISOMA NAMBA MADENI MULIYOKUWA NAYO NCHI ITAUZWA YOTE MPAKA N'GOMBE MBUZI KONDOO NA BINADAMU WOTE WATAUZWA HAPO BONGO LAKINI MADENI YATABAKI PALEPALE.....................MTADAIWA SANA .............MAMA ANAFUATA NYENDO ZA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA TATU.
 
Vincenzo Jr una wakili? Bado nakupenda ndugu yangu🤸 WAKILI WAKE HUYO
Screenshot_20240529-122723.jpg
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Yule mgogo Aliona mbali
 
KAZI IENDELEE ..........................MAISHABORA KWA KILA MDANGANYIKA MUTAISOMA NAMBA MADENI MULIYOKUWA NAYO NCHI ITAUZWA YOTE MPAK N'GOMBE MBUZI KONDOO NABINADAMU WOTE WATAUZWA HAPO BONGO LAKINI MADENI YATABAKI PALEPALE.....................MTADAIWA SANA .............MAMA ANAFUATA NYENDO ZA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA TATU.
Inasikitisha sana 😭
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Tutauza bahari/madini/ardhi
 
Alipokuwa anafanya Magufuli mliona sahihi,na yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli ameacha miradi mikubwa ya kuhitaji pesa nyingi kuliko uchumi wa Nchi.
1.una ujenzi wa SGR-18T
2.una bwana la Nyereree-9T
3.Una madeni ya wazabuni & watumishi
4.una maintainance ya ndege ambazo hazijaanza kuleta faida.
5.ina Lundo la vijana wasio kuwa na ajira,wengi wakitegemea ajira za Serikali
6.Una miradi ya ujenzi wa hospital,shule,barabara na maji kila Wilaya
7.una madeni yaliyoachwa na Kikwete & Magufuli ambayo kila mwezi takribani 1.5 trillion hutumika,
*** hayo mambo yote yanataka fedha,makusanyo ya TRA kwa mwezi ni 2 trillion.
Bado una pressure ya kisiasa ya Wananchi na viongozi wajinga wanaotaka miradi aliyoanzisha Magufuli imaliziwe.
Sasa kwa hali hiyo SAMIA yeye afanyaje?????????????
1. Sitisha ujenzi wa SGR, viwanja vya ndege na mwendokasi mpaka hii miradi iliyokamilika iweze kutumika na kuanza kuingiza mapato
2.Uza ndege zote za ATCL na usiendelee kununua nyingine
3. Acha kununua magari ya mavietee(V8) na matumizi mengine yasio ya lazima
4. Rekebisha mfumo wa utawala kupunguza ukubwa wa serikali na bunge
5. Ukimaliza hayo unakaa na wakopeshaji kufanya "debt restructuring"
Suluhisho sio kuendelea kukopa tu to bila ukomo
 
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Bahati mbaya sana ni kwamba ataekuja pia ni walewale walioshiri kuitumbukiza nchi kwenye madeni...ccm itamkopa wapi huyo rais mzuri?
 
Alipokuwa anafanya Magufuli mliona sahihi,na yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli ameacha miradi mikubwa ya kuhitaji pesa nyingi kuliko uchumi wa Nchi.
1.una ujenzi wa SGR-18T
2.una bwana la Nyereree-9T
3.Una madeni ya wazabuni & watumishi
4.una maintainance ya ndege ambazo hazijaanza kuleta faida.
5.ina Lundo la vijana wasio kuwa na ajira,wengi wakitegemea ajira za Serikali
6.Una miradi ya ujenzi wa hospital,shule,barabara na maji kila Wilaya
7.una madeni yaliyoachwa na Kikwete & Magufuli ambayo kila mwezi takribani 1.5 trillion hutumika,
*** hayo mambo yote yanataka fedha,makusanyo ya TRA kwa mwezi ni 2 trillion.
Bado una pressure ya kisiasa ya Wananchi na viongozi wajinga wanaotaka miradi aliyoanzisha Magufuli imaliziwe.
Sasa kwa hali hiyo SAMIA yeye afanyaje?????????????
Suluhisho la samia sio kukopa
 
Back
Top Bottom