Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Hili jambo ndio wasi wasi wangu, hatufuati vigezo vya kiuchumi, Deni tutawaachia wengine, sio mzigo wetu Sisi viongozi Bali wa watumwa wetu
 
Same applies Kwa huyu,kwani aliepita SI alikuwa anaongopa kuwa alikuwa anajenga Kwa pesa za ndani na hachukui mikopo,baada ya kung'ata shuka na tukajua ukweli umeonaje??

Usiamini kila unachoambiwa.
1. Aliyeng'ata shuka alikopa trilioni ngapi kwa miaka yote sita aliyokaa madarakani?

2. Na mng'ata shuka mtarajiwa kakopa trilioni ngapi kwa muda wa miaka hii mitatu aliyokaa madarakani?

Data ziongee...na tafadhali usiingize udini maana huwa hukawii 😁
 
Alipokuwa anafanya Magufuli mliona sahihi,na yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli ameacha miradi mikubwa ya kuhitaji pesa nyingi kuliko uchumi wa Nchi.
1.una ujenzi wa SGR-18T
2.una bwana la Nyereree-9T
3.Una madeni ya wazabuni & watumishi
4.una maintainance ya ndege ambazo hazijaanza kuleta faida.
5.ina Lundo la vijana wasio kuwa na ajira,wengi wakitegemea ajira za Serikali
6.Una miradi ya ujenzi wa hospital,shule,barabara na maji kila Wilaya
7.una madeni yaliyoachwa na Kikwete & Magufuli ambayo kila mwezi takribani 1.5 trillion hutumika,
*** hayo mambo yote yanataka fedha,makusanyo ya TRA kwa mwezi ni 2 trillion.
Bado una pressure ya kisiasa ya Wananchi na viongozi wajinga wanaotaka miradi aliyoanzisha Magufuli imaliziwe.
Sasa kwa hali hiyo SAMIA yeye afanyaje?????????????
Samia amekopa kiasi gani hadi sasa? Tuanzie hapo!

Maana hio miradi pia sio kwamba Magu aliiacha ikiwa kwenye makaratasi. Almost yote alishaifanya kwa zaidi ya 50% ukiachana tu na ule wa JNHPP.
 
Hatukatai mikopo, lakini vitu vingi tungeweza kufifanya kwa kupunguza , wizi, ubadhirifu, matumizi Mabaya ya fedha, kuacha kutorosha faida ya kuwa na Bandari Kwa kuiendesha wenyewe, kutekeleza miradi ya kimaendeleo kama SGR na uzalishaji umeme wa kutosheleza na sio kuhihujumu nchi na uwekezaji wetu
 
Same applies Kwa huyu,kwani aliepita SI alikuwa anaongopa kuwa alikuwa anajenga Kwa pesa za ndani na hachukui mikopo,baada ya kung'ata shuka na tukajua ukweli umeonaje??

Usiamini kila unachoambiwa.
Hakuwa na access na mikopo ya bwelelee kama ya mama sababu hakukumbatia mabeberu. Jiulize pia alikopa kiasi gani kwa muda wake wa term moja? Je, aliyepo miaka mitatu ameshakopa bei gani na nini kimefanyika?
 
Au
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Au siyo? Bado hamjasema Wala kupotosha ,ongezeni juhudi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C7yW-8xATWl/?igsh=NWcxc2Q3NDA4MWQ0
 
Shida hata sio kukopa, kila mtu anakopa sometimes.

Ila unakopa kufanyia nini huo mkopo? Matumizi mazuri ya mkopo ni kufanyia investment sio kuzimaliza kwa matumizia ya anasa. Unakuta mtu anakopa halafu ananunulia gari mkopo, very wrong decisions. Unakopa ili ulipe watu posho za semina na warsha this is very awkward.

Unampa mtu wadhifa waku oversee na kuchannel hela ziende kwenye mradi bila kufanya follow ups. Hela hizo ni za mkopo mtu hafikishi zote zingine wanatia mfukoni. Hii haina tofauti na kujaza maji kwenye kikapu.
 
Back
Top Bottom