Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Ayo yote ni mazara ya makufuli jiwe uyo ndo chanzo cha yote haya yanayoendelea sasa
Uchumi mbovu
Bunge bovu
Viongozi wa mikoa na wilaya wa hovyo
Machawa kibao
Ayo yote ni jiwe aliyaleta na ametuachia
Mimi huwa nashangaa eti watu wanamkumbuka Magufuli kumbe hii ndio legacy yake aliyoiacha, kujaza wapumbavu bungeni alijuwa anawakomowa Chadema, haya kiko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom