Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Hayo madini tuliyogawa kwa kukopeshwa pesa, tungeyauza tungepata hela zaidi ya hiyo tuliyokopeshwa.
Akili mtu wangu..!🤸
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Ndiyo maana ya kuuzwa, siyo lazima tuwekwe kwenye shelves dukani
 
Alipokuwa anafanya Magufuli mliona sahihi,na yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli ameacha miradi mikubwa ya kuhitaji pesa nyingi kuliko uchumi wa Nchi.
1.una ujenzi wa SGR-18T
2.una bwana la Nyereree-9T
3.Una madeni ya wazabuni & watumishi
4.una maintainance ya ndege ambazo hazijaanza kuleta faida.
5.ina Lundo la vijana wasio kuwa na ajira,wengi wakitegemea ajira za Serikali
6.Una miradi ya ujenzi wa hospital,shule,barabara na maji kila Wilaya
7.una madeni yaliyoachwa na Kikwete & Magufuli ambayo kila mwezi takribani 1.5 trillion hutumika,
*** hayo mambo yote yanataka fedha,makusanyo ya TRA kwa mwezi ni 2 trillion.
Bado una pressure ya kisiasa ya Wananchi na viongozi wajinga wanaotaka miradi aliyoanzisha Magufuli imaliziwe.
Sasa kwa hali hiyo SAMIA yeye afanyaje?????????????
 
Kwani wakati hayo yote yanafanyika nani aliyekuwa makam wa Rais, na ni nini kazi ya makamu?
 
Back
Top Bottom