Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #121
Kabisa aliona mbali naunga mkono hojaJapo yeye Mwenyewe hafai.....Ndugai kuna vitu alinusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aliona mbali naunga mkono hojaJapo yeye Mwenyewe hafai.....Ndugai kuna vitu alinusa
wacha wakope mpaka walipo andika mwisho.Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.
Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Na huo ndio uhalisia wenyewe.Mpak waje kudai we ushakufa , we ukipata gape piga alaf pita hv,
Naunga mkono hojaKatika vitu jpm alikosea ni kutuwekea kundi la watu wa hovyo namna ile huko dodoma. Sijui hata aliwaza nini hakyanani, tuna kundi la watu wa hivyo kabisa, all they care is their stomachs.
Safi sana haya ndio mawazo sasa,sio watu kulaumu bila solutions.issue inakuja ni nani wa kuchukua maamuzi kama haya-kumbuke Afrika Rais ndio kila kitu na power siku zote huharibu akili za viongozi.1. Sitisha ujenzi wa SGR, viwanja vya ndege na mwendokasi mpaka hii miradi iliyokamilika iweze kutumika na kuanza kuingiza mapato
2.Uza ndege zote za ATCL na usiendelee kununua nyingine
3. Acha kununua magari ya mavietee(V8) na matumizi mengine yasio ya lazima
4. Rekebisha mfumo wa utawala kupunguza ukubwa wa serikali na bunge
5. Ukimaliza hayo unakaa na wakopeshaji kufanya "debt restructuring"
Suluhisho sio kuendelea kukopa tu to bila ukomo
kwa taarifa yako mashimo yametengenezwa tangu enzi za Nyerere, kuna mikopo bado inaendelea kulipwa.Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Bungen wanafanya nin??Hivi hii inchi ni ya Raisi au ni ya watanzania wote.?? Huyu anapotoa sehem ya bahari na madini kwa ajiri ya mkopo anakuwa kakubaliana na nani? Naomba ufafanuzi wakuu
Ndugai naye mnafiq tu alikuwa anapiga mayowe baada ya kuwa blacklisted kama Sukuma Gang.Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.
Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Kwa solution ni kukopa tu,kama kashindwa aachie madaraka,shida sio kukopa tatizo matumizi ya hiyo mikopoAlipokuwa anafanya Magufuli mliona sahihi,na yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli ameacha miradi mikubwa ya kuhitaji pesa nyingi kuliko uchumi wa Nchi.
1.una ujenzi wa SGR-18T
2.una bwana la Nyereree-9T
3.Una madeni ya wazabuni & watumishi
4.una maintainance ya ndege ambazo hazijaanza kuleta faida.
5.ina Lundo la vijana wasio kuwa na ajira,wengi wakitegemea ajira za Serikali
6.Una miradi ya ujenzi wa hospital,shule,barabara na maji kila Wilaya
7.una madeni yaliyoachwa na Kikwete & Magufuli ambayo kila mwezi takribani 1.5 trillion hutumika,
*** hayo mambo yote yanataka fedha,makusanyo ya TRA kwa mwezi ni 2 trillion.
Bado una pressure ya kisiasa ya Wananchi na viongozi wajinga wanaotaka miradi aliyoanzisha Magufuli imaliziwe.
Sasa kwa hali hiyo SAMIA yeye afanyaje?????????????
Dr Matola,naona unaendeleza tuh Spana,Piga Spana Dr...Huyo Ndugai ndio wa hovyo kabisa aliyeuwa bunge letu.
Nashangaa kuna wajinga mnamuona kama aliongea jambo la maana huku anafukuza bungeni wasimamizi wa raslimali zetu kama Tundu Lisu.
Tanzania mmejaa wajinga wengi sana.
The state walimwambia kwamba;-Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.
Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
1. Aliyeng'ata shuka alikopa trilioni ngapi kwa miaka yote sita aliyokaa madarakani?
2. Na mng'ata shuka mtarajiwa kakopa trilioni ngapi kwa muda wa miaka hii mitatu aliyokaa madarakani?
Data ziongee...na tafadhali usiingize udini maana huwa hukawii 😁
Ndio nini hii ?