Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

Shida hata sio kukopa, kila mtu anakopa sometimes.

Ila unakopa kufanyia nini huo mkopo? Matumizi mazuri ya mkopo ni kufanyia investment sio kuzimaliza kwa matumizia ya anasa. Unakuta mtu anakopa halafu ananunulia gari mkopo, very wrong decisions. Unakopa ili ulipe watu posho za semina na warsha this is very awkward.

Unampa mtu wadhifa waku oversee na kuchannel hela ziende kwenye mradi bila kufanya follow ups. Hela hizo ni za mkopo mtu hafikishi zote zingine wanatia mfukoni. Hii haina tofauti na kujaza maji kwenye kikapu.
Naunga mkono hoja
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Huyo Ndugai ni mpuuzi fulani tu, yeye kwa kushirikiana na Magufuli alishiriki kwa kiwango kikubwa kuua nguvu ya kuhoji ndani ya nchi hii. Amebaki anajiliza wakati tumefika hapa kutokana na yeye kuua nguvu ya wananchi kuhoji.
 
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika

Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂.

Mdogo mdogo maneno ya Ndugai yatatimia😂
Dah!
Sio poa..
 
Japo yeye Mwenyewe hafai.....Ndugai kuna vitu alinusa
 
Back
Top Bottom