Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Harafu❌Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana harafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingeleza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Ninae yupo 😂😁🤣😎Vincenzo Jr una wakili? Bado nakupenda ndugu yangu🤸
Harafu❌
Halafu✅
Waingeleza❌
Waingereza✅
Nilikuwa naandika fasta 😎 😂😁Harafu❌
Halafu✅
Waingeleza❌
Waingereza✅
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasaBahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Naunga mkono hojaRais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Atakaefata❌Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Same applies Kwa huyu,kwani aliepita SI alikuwa anaongopa kuwa alikuwa anajenga Kwa pesa za ndani na hachukui mikopo,baada ya kung'ata shuka na tukajua ukweli umeonaje??Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Punguza uogaVincenzo Jr una wakili? Bado nakupenda ndugu yangu🤸
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima wapoteane kila mtu anatudai , na tunachofanya hamna😂😂😂. Mdogo mdogo maneno ya ndugai yatatimia😂
Nashukulu kwa kunilekebishaAtakaefata❌
Atakayefuata✅
Kulekebisha❌
Kurekebisha✅
Kumekucha na kiswahiliHarafu❌
Halafu✅
Waingeleza❌
Waingereza✅