Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

wacha wakope mpaka walipo andika mwisho.
 
Katika vitu jpm alikosea ni kutuwekea kundi la watu wa hovyo namna ile huko dodoma. Sijui hata aliwaza nini hakyanani, tuna kundi la watu wa hivyo kabisa, all they care is their stomachs.
Naunga mkono hoja
 
Safi sana haya ndio mawazo sasa,sio watu kulaumu bila solutions.issue inakuja ni nani wa kuchukua maamuzi kama haya-kumbuke Afrika Rais ndio kila kitu na power siku zote huharibu akili za viongozi.
Kwa aina ya Ma Rais wetu wa kitanzania bila wananchi kupiga kelele na wabunge kusema-ni Rais gani anaweza fanya maamuzi kama haya??.Kila Rais anakuja na ambitious projects na matumizi makubwa yasiyoendana na hali ya uchumi.

Siku zote adui namba 1 wa hii Nchi ni sisi wananchi wenyewe tulio kimya na Rais tunaomchagua.Hii Nchi inahitaji Rais mwenye akili na uzalendo kama Nyerere na dikiteta kama Magufuli.
 
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
kwa taarifa yako mashimo yametengenezwa tangu enzi za Nyerere, kuna mikopo bado inaendelea kulipwa.

nb: kurekebisha siyo kulekebisha
 
Ndugai naye mnafiq tu alikuwa anapiga mayowe baada ya kuwa blacklisted kama Sukuma Gang.
 
Kwa solution ni kukopa tu,kama kashindwa aachie madaraka,shida sio kukopa tatizo matumizi ya hiyo mikopo
 
The state walimwambia kwamba;-

"Kwasasa deni la taifa sio himilivu ,punguza kukopa imarisha ukusanyaji mapato,vutia wawekezaji Ili ku unlock uchumi!,nasi tutakuunga mkono na tutaacha "mipango yeti"!!kwenye Uzi wa Tumia akili "operesheni imesitishwa the state wamesema apewe muda"


Ngoja tuone hai jamaa kama wameridhika na mikopo au lah!maana mambo yanaenda tu kama kawa!!

Mungu ibariki Tanzania!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…