igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Umasema??? Akifukuzwa uanachama ataendelea kuwa spika kama wale covid 19???Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM