Umasema??? Akifukuzwa uanachama ataendelea kuwa spika kama wale covid 19???Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM
Kwa akili yako unaona ana ushauri au huwa anaenda na muelekeo wa upepo?? Kumbuka huyu wapiga kura wake walimkataa live mbele ya JPM, na clip humu ipo wakisema "hatumtakiiiii"Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Siyo kweli hakuna takwa lazima uwe mwanachamaSpika ni lazima awe Mwanachama wa Chama cha Siasa ila si lazima awe Mbunge
Sijui unaongea kwa kujifurahisha au ni nini, huyu ameupata uspika kupitia Chama, hakupata uspika kupitia mgombea asiye na Chama. Kama CCM mpaka Leo hawataki mgombea binafsi hata wa ubunge au udiwani ndiyo watakubali spika asiye na Chama???Kudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!
Sina hamu na BAVICHA walivyomtiaga ujinga Assad mpaka kushindana na boss wake halafu wakamkimbia alipoanza kupelekewa mashambuliziSijui unaongea kwa kujifurahisha au ni nini, huyu ameupata uspika kupitia Chama, hakupata uspika kupitia mgombea asiye na Chama. Kama CCM mpaka Leo hawataki mgombea binafsi hata wa ubunge au udiwani ndiyo watakubali spika asiye na Chama???
Mojawapo ya sifa ya kuchaguliwa kuwa mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa hivyo ikitokea CCM ikamvua uanachama Ndugai itakuwa imeondoa ubunge wake na kuondoa sifa ya kuwa mbunge hivyo kutokana na kuondokana na sifa hiyo atakuwa amepoteza uspika automatically.Siyo kweli hakuna takwa lazima uwe mwanachama
View attachment 2065562
NaamMojawapo ya sifa ya kuchaguliwa kuwa mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa hivyo ikitokea CCM ikamvua uanachama Ndugai itakuwa imeondoa ubunge wake na kuondoa sifa ya kuwa mbunge hivyo kutokana na kuondokana na sifa hiyo atakuwa amepoteza uspika automatically.
Ama kweli mwenyekiti wa CCM ana nguvu sana, kikao kizima cha bunge anakiongoza yeye hivyo anachofanya ni kumuachia tu spika kwa sababu hawezi kukaa ikulu na bungeni kwa pamoja
Hebu tupeleke polepole , unasema spika wa Bunge la JMT si lazima awe mbunge?Kudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia .. wasindanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Sana.... Anaingia bungeni baada ya kupata clearance ya maafisa usalama pale getini, wakigoma gari yake isiingie haiingii, hata dereva wake ni wetu, badala ya kumpeleka bungeni anaweza kumpeleka singida au arusha na kikao Cha Bunge alichokipanga kikwameUwa unadhan Mambo yako raisi hivyo eehh
Hata Katiba hujui, halafu unabishana na sisi humu.Sasa atakuwaje mbunge.. akivuliwa ubunge anakuwa hana sifa ya kuwq spika
Spika aishauri Serikali nje ya bunge, mkuu huo utaratibu ni wa wapi?! Kwanni hakumshauri siku ile ya kutangaziwa mkopo wa Trilion 1.5 za Uviko-19, mbona alipewa nafasi ya kuongea, unakumbuka alisemaje?! Two things a leader should watch out, sleep of tounge and ambiguous statements.Ule ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Kwani wakati ule Prof. Assad alichotoa ilikuwa nini?huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.