white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Ccm, wakiamua kuwa kufikia mwezi wa 2, Ndugai asiwe spika, hakuna wa kuwazuia, sasa hao covid 19, ccm ndio inawalinda, ikiwaamulia nao, ni siku moja tu, na Ndugai ndio mlinzi wao,Uviko-19 mbona walishafutwa uanachama.
Hivi wewe unazungumzia siasa za nchi gani?!!kweli kwa akili za kawaida hili linaweza tokea kwa Tz?yaani spika awe hana chama?eti kama wabunge wanampenda watamchagua tena!Kwa mujibu wa katiba, mtu yeyote anaweza kugombea uspika na kuchaguliwa. Ni kweli anaweza kuvuliwa uanachama na kupoteza ubunge lakini hawezi kupoteza uspika. Vile vile hata ikilazimishwa apoteze uspika anaweza kugombea tena uspika kama raia huru au kudhaminiwa na chama kingine na wabunge kama wanampenda watamchagua tena kuwa spika.
NDUGAI AFUKUZWE UANACHAMA, HAFAI HATA KIDOGOKuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Wewe unaamini unalielewa hilo kumshinda Ndugai?Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Soma vizuri atatoka miongoni mwa wa wabunge au nje mwenye sifa yakuwa mbunge. Sasa kasome sifa za kuwa mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa. Usiishie ibara hii tuSiyo kweli hakuna takwa lazima uwe mwanachama
View attachment 2065562
YES, SIR! Tena sio "si lazima awe mbunge" tu bali "si lazima awe mwanachama wa siasa"! Hata wewe, hata kama sio mbunge na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bado unaweza kugombea na kuukwaa uspika provided sifa zingine unazo!Hebu tupeleke polepole , unasema spika wa Bunge la JMT si lazima awe mbunge?
pety analogy. vitisho vya kijingaKuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Sasa atakuwaje mbunge.. akivuliwa ubunge anakuwa hana sifa ya kuwq spika
Umasema??? Akifukuzwa uanachama ataendelea kuwa spika kama wale covid 19???
Ibara ya 84(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:Sijui unaongea kwa kujifurahisha au ni nini, huyu ameupata uspika kupitia Chama, hakupata uspika kupitia mgombea asiye na Chama. Kama CCM mpaka Leo hawataki mgombea binafsi hata wa ubunge au udiwani ndiyo watakubali spika asiye na Chama???
Soma kwanza katiba. Sharti la kuwa spika sio lazima awe mbunge; ila naibu spika ni lazima awe mbunge.Hivi wewe unazungumzia siasa za nchi gani?!!kweli kwa akili za kawaida hili linaweza tokea kwa Tz?yaani spika awe hana chama?eti kama wabunge wanampenda watamchagua tena!
Kifupi akifukuzwa ccm, automatically na uspika ndio basi tena, bila kuangalia mazingira mengine.
Tofauti ni kwamba yeye ataondolewa kibabeUviko-19 mbona walishafutwa uanachama.
Embu nenda namba 84.7 hapo alafu utujibu hapa ndugai akivukiwa uanachama uspika wake unakuwaje??Ibara ya 84(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:
Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.
Je, mna maswali zaidi?! Naweka mkazo: mtu halazimiki kuwa mbunge ili kuwa spika wa bunge! Anayelazimika kuwa mbunge ni Naibu Spika!
acha ujinga, wewe, basi kama ni hivyo bunge zima. Litanyang'anywa hizo kadi. Asilimia 90 ya wabunge wote wapo upande wa Ndugai achana na hao wanao wapiga domo wasio bungeniKuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Atapoteza sifa ya kuwa mbunge tu na atabaki kuwa na sifa ya kuwa spika.Kudhaminiwa na chama sio hoja, hoja ni matakwa ya mtu kuwa spika!! Kudhaminiwa na chama ndo hiyo backup ninayoisema lakini unaweza kugombea uspika hata kama huna chama!!
Sijakataa kuwa spika, ni lazima awe na chama, hilo ni suala la kikatiba, lakini kwa siasa zetu hilo haliwezekani, ktk nchi hii ni mala ngapi wanapoamua kudhibitiana wana ccm, wanalazimisha kura zipigwe wazi?na sasa hivi huwaoni wabunge wakisema ni kutokana na kutojua nini kitafuata, lakini mfano kwa sasa, katibu mkuu wa ccm/kamati kuu itoe tamko kali juu ya Ndugai, labda la kumfukuza uanachama, utawaona watakavyojitokeza, na likishafanyika hilo tu, hiyo kanuni inabadirishwa tu ya kuwa kura itapigwa kwa kunyoosha vidole, kwisha habari yake.ndio maana nikasema ikifikia huko tu uspika utapotea tu, Nchi hii wakiamua hakuna cha eti katiba inasemaje.Hakuna nchi kutikisika.Soma kwanza katiba. Sharti la kuwa spika sio lazima awe mbunge; ila naibu spika ni lazima awe mbunge.
Hivyo kumfukuza uanachama kutamvua ubunge tu sio uspika. Pili nafasi ya uspika ni kubwa sana kumpoka inahitaji timing sana la sivyo nakuambia nchi itatikisika hata kana hatimaye mwishoni itafanikiwa lakini tayari madhara makubwa yatakuwa yametokea. Kumbuka kura zinapigwa kwa siri na wale wabunge kwa uchache wao wanaweza kabisa kumsapoti wakati wa kura. Narudia tena suo rahisi kumg'oa bila nchi kutikisika.
Kinachowezekana na kumvizia mwaja 2025 wakati kiti kikiwa wazi kama ilivyokuwa wakati ule wa Sitta.
Ndio uzuri wa katiba ! Maana katiba ni sheria mama !!Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Ninyi haya mmeyajua leo kuwa kuna mawazo mbadala, mbona upinzani wakitoa mawazo mbadala zengwe linakuwa kubwa sanaaUle ushauri wake ndio unawafanya muanze kuona anyang'anywe kadi?
Hivi hii nchi akili tumezipeleka wapi?
Mbona hatuna uwezo wa tafakuri?
Kwanini tusitafakari ushauri wake?
Kwanini kila kauli itolewayo ionekane ni hujuma?
Kwani hata huyo Rais kinachompa sio kadi ya CCM?
Au Katibu Mkuu wa CCM, kinachompa cheo sio kadi?
Yaani hatutaki kupewa ushauri wa tahadhari juu ya mikopo?
Kwani nchi ngapi maskini zimeshazidiwa na mikopo?
Wabunge wako upande wake? Alianzishe halafu ageuke nyuma aangalie walio upande wake, hatawaona, Siasa ni unafiki piasacha ujinga, wewe, basi kama ni hivyo bunge zima. Litanyang'anywa hizo kadi. Asilimia 90 ya wabunge wote wapo upande wa Ndugai achana na hao wanao wapiga domo wasio bungeni
Unaweza kuwa spika bila kua mbunge? [emoji44][emoji44]Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM